Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2017-05-13-21-43-25.png
Assists ni hawa
 
Mkacheze tu Yuropa
CL miaka 20 hamna mlicho pata!Yuropa mtacheza na Knodar ya Russia na Lille ya France na huko mnaweza fika hata robo fainali
Majogoo yanacheza CL!
 
Wenger atoa Onyo kwa Chelsea.

Arsene Wenger amewapongeza Chelsea kwa kutwaa Ubingwa wa EPL lakini amewaonya kwamba msimu ujao hautokuwa rahisi hasa ikizingatiwa kwamba watakuwa na mashindano ya UEFA pia.

The Blues wametwaa taji la pili la EPL ndani ya miaka mitatu bila ya kucheza Ulaya msimu huu na wanaweza angalau kumaliza juu kileleni kwa tofauti ya pointi 12 dhidi ya Gunners ambao wenyewe bado wanapigania kumaliza nafasi nne za juu.

Wenger anaamini kwamba timu kama Real Madrid na Bayern Munich wapo imara sana Ulaya kwasababu hawalazimiki kucheza katika kiwango cha juu sana katika ligi za nyumbani kupata matokeo baada ya Gunners kuondolewa hatua ya 16 katika mikono ya Wajerumani.

Kuelekea mechi ya EPL siku ya jumanne dhidi ya Sunderland Wenger amesema," Chelsea wamefanya vizuri. Hongera zao."

"Lakini katika misimu miwili iliyopita timu ambazo zilikuwa hazichezi Ulaya zimetwaa taji la EPL"

"Utakuwa msimu tofauti kwasababu watalazimika kucheza Jumamosi - Jumatano - Jumamosi kwasababu ya mechi za UEFA."

"Nahisi nchini Hispania, Real Madrid wanaweza kushinda mechi wakicheza katika daraja la wastani kuliko Uingereza. Labda pia ni wazuri kuliko sisi."

"Bayern pia ni sawa na Madrid - Wanatawala ligi ya Ujerumani kwa urahisi sana."
30aa5ee32ce17f2950c63fccc857a675.jpg
 
Wenger naye sijui ni kocha gani yaani kila kitu maneno matamu utdkdkezaji kiduchu ndjo maana hsta mke aliondoka kea sababu ya Ulipumba wake
 
FT
Arsenal 2-0 Sunderland
Thanks to Sanchez kwa kupasia kamba zote mbili(2),tunamaliza na Everton ila kiuhalisia inabidi tupokee tu calls kutoka YUROPA hakika tunaelekea uko msimu ujao.
 
FT
Arsenal 2-0 Sunderland
Thanks to Sanchez kwa kupasia kamba zote mbili(2),tunamaliza na Everton ila kiuhalisia inabidi tupokee tu calls kutoka YUROPA hakika tunaelekea uko msimu ujao.
Bora hta tusiende champions league maana ni vipigo tu kila mwaka so haina maana hta kushiriki!!
 
FT
Arsenal 2-0 Sunderland
Thanks to Sanchez kwa kupasia kamba zote mbili(2),tunamaliza na Everton ila kiuhalisia inabidi tupokee tu calls kutoka YUROPA hakika tunaelekea uko msimu ujao.
Bayern Munich watawafuata hukohuko
 
Back
Top Bottom