Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tangu nilipojua Lipumb nae ni shabiki wa hii team napata shida sana kujitambulisha kama mwana Arsenal
Nilikuwa sijui,daaaah.

Mimi huwa najisikia fahari kwa mtangazaji mahiri Charles Hillary kuwa mwana Arsenal mwezangu.
 
Eti naelekeza nguvu Europa ndo maana tukafungwa! Short cut iko wapi? Subiri aone.
 
Well done the gunners mmeinyamazisha almost nchi nzima maana washabiki wa man u ni too much kwa kelele
 
RATIBA YA MICHEZO 5 ILIYOBAKIA KUMALIZA MSIMU WA 2016/17
Tumebakiza michezo minne ya EPL ili kukamilisha msimu 2016/17 Ni michezo muhimu katika harakati za kuwania kumaliza katika vilabu vinne bora vya EPL ili kupata nafasi ya ushiriki wa UEFA kwa msimu wa 2017/18. katika michezo hiyo minne michezo miwili tutacheza tukiwa ugenini na michezo miwili tutamalia kwenye uwanja wetu wa nyumbani.
Mchezo wa fainali ya FA Cup ndio utatukamilishia ratiba kwa mshimu wa 2016/17 mchezo huo utaopigwa katika dimba la Wembley dhibi ya Chelsea.
0cceafb695ae001a9ac0f8eeb7b71b88.jpg
 
Arsenal ni wastaarab sana,hivi Arsenal tumeshinda sioni katuni wala vitendo vyovyote vya kejeli dhidi ya Man U,tungekuwa tumefungwa sasa...
Ukistaarabika utaelimika, ukielimika utastaarabika.
 
Arsenal ni wastaarab sana,hivi Arsenal tumeshinda sioni katuni wala vitendo vyovyote vya kejeli dhidi ya Man U,tungekuwa tumefungwa sasa...
Mweeeeeh! Unashabikia arsenal!! Mpe hi MO11 wangu.
 
Duuuuuh aiseee ratiba ngumu sana + na hiyo fainali
Eeeeeeh Mungu saidia.
 
Umeshasahau mara hii? Ni miaka miwili imepita sasa tokea nikuambie mimi ni Arsenal wewe kama sikosei ni Man U.
Nafikiri zimefika mama.
 
Ratiba ni ngumu kiukwel ila naiman wachezaji watajituma ili kufanikisha kushiriki UEFA kwa msimu wa 2017/18 imani yang kubwa point zote 12 za michezo minne tutaweka kibindoni
 
Umeshasahau mara hii? Ni miaka miwili imepita sasa tokea nikuambie mimi ni Arsenal wewe kama sikosei ni Man U.
Nafikiri zimefika mama.
Weeeh hiyo timu ya mashetani usinitajie, ndio MO11 ananishawishi niishabikie arsenal bado namfikiria, nikiwaza na haya mambo ya wenger ndio kabisaaaaa.
 
Arsenal ni wastaarab sana,hivi Arsenal tumeshinda sioni katuni wala vitendo vyovyote vya kejeli dhidi ya Man U,tungekuwa tumefungwa sasa...
Kwakweli sisi wastarabu. Ila wabishi na wavumilivu kweli kweli
 
Umeshasahau mara hii? Ni miaka miwili imepita sasa tokea nikuambie mimi ni Arsenal wewe kama sikosei ni Man U.
Nafikiri zimefika mama.
Kula tano Niffah maana unajua kupenda timu nzuri zenye soka la uhakika
 
Weeeh hiyo timu ya mashetani usinitajie, ndio MO11 ananishawishi niishabikie arsenal bado namfikiria, nikiwaza na haya mambo ya wenger ndio kabisaaaaa.
Hahahaaaaa mwenzio niliipenda mwenyewe ndio maana mambo ya Wenger hayanisumbui.
 
Back
Top Bottom