Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Last game of the season.
IMG_3481.jpg

Still i've lil' faith on AW's charm linapokuja suala la kombe lake pendwa (top 4)
COYG......
 
Kumbe nyie ni Arsenal wenzangu?
Ila mkuu barafuyamoto umepata maumivu mara dufu!
Huku Simba kule Arsenal,dah!
Wee acha tu. Sijui nilianzaje kuzipenda hizi timu, kuhama siwezi!! Ngoja nikomae nazo tu, roho ishapenda!
Arsenal imeniliza sana ndugu yangu kuliko simba, nilizira mida fulani kuingia humu jukwaa la arsenal mpaka wenger aondoke ila nachungulia kila siku hivyo nimeona najizingua tu ngoja niendelee kutiririka.
 
Bellerin ni mzuri sana, Cech kachoka mno, bado tunamuhitaji Mtakatifu Carzola japo injury hua hazimwishi. Pia naamini kua Chamberlain ni aina ya mchezaji ambae akipata cocha kwenye hamasa anaweza kuleta matokeo. Wengine wote wasepe, hawana quality ya kuwepo Arsenal.
Binafsi, waingereza wanaochezea Arsenal sasa sijawahi wakubali, Ramsey alinishawishi msimu mmoja akapotea mpaka leo hajarudi.
 
Naona kwa 'wabaya' wetu bado ni 0-0
Tuendelee kuomba
 
Hii Arsenal bora tupumzike kidogo,,tujipange tena,,wenga na kraonke ni kama vile wanatokea North Korea.Ila dawa yao ni pressure tu.Liver wakipoteza hii nafasi watakuwa wamekosea sana.
Tupumzike tupumzike kaka, kwa kweli tulianza fresh mno, tuko kama puto sasa, mwenzenu nishajiandaa na @europaleague, muhimu kuliko chote [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG] [HASHTAG]#kronkeout[/HASHTAG] @alisheriusmanov @allegriin
Nimechoka na huyu babu kabisa kabisa..
 
Kila msimu huwa tunasema hivi shida akishinda FA cup ndo basi tena board inampatia mkataba huooooo tena wa miaka 5
 
HT
Arsenal 2-0 Everton
Upande wa pili Liva anaongoza goli 1 hii ni kwa wale wenye imani wenzangu...
 
Ni aibu kutaka kucheza CL kupitia mgongo wa kutaka kusaidiwa na teams zingine ziwafunge Liverpool na Man City
Cheza CL by u r own merit sio kusaidiwa bana
 
Back
Top Bottom