hahahahaha! Jirani unanichekehsa sana. Hutakiwi kuongea kuhusu Arse..vin au Gallas, wakati wanatoka tayari Barca wamekosa magoli kama 5 hivi....sidhani kama ni factor!
That's below the belt jirani! Football is an open game and everyone has the right to air his/her opinion....ndio maana mlikuwa wengi sana kule darajani siku Inter anatupa adhabu....that's life bro!Hivi ni hasira za kutolewa na Inter ama?,mbona unakuwa na gubu na Arsenali hivyo bana???...Mmmetolewa subirini mwakani,subiri baada ya game ya pili na Barca Nou Camp tukifungwa na kutolewa rasmi ndo uanze kuchonga...Bingwa si Inter bana,Inter hachomoki Moscow,kapata ushindi mwembamba sana leo...Warusi hawafai wakiwa kwao,ukichanganya na hali ya hewa mhhhhhhhh..Inter inabidi wawe waangalifu sana
kwi kwi kwi kwi....who the bloody hell is he?!!Na inawezekana dream ikawa kweli....Cha msingi tusubiri hiyo 2nd leg na tuone,mengine tumuachie Sheikh Yahya Hussein
Sasa inakuwa vipi Barca wawe na tatizo kwa mabeki? Maana kuna Milito, Marquez na Abidal anaweza kucheza pale!Kukosekana kwa Fabregas kusikusumbue aisee....AW atamuandaa ntu wa kuziba pengo la Cesc...Kuna mechi nyingi tu ambazo Cesc hajacheza na tumefanya vizuri🙂🙂🙂
I'm sorry to say, lakini nafikiri wewe hujui kabisa ku-analyze jinsi mpira ulivyochezwa! Barca hawakuangaika kumkaba Fabregas, na wala sidhani kama Arsenal walimkaba Messi sana kwa sababu hakucheza nafasi anayocheza kila siku, leo kacheza nyuma ya Zlatan....na ninafikiri hili limefanywa makusudi. It's fair kukubali kwamba Arsenal walikuwa wabovu kupindukia! The positive thing ni kwamba Arsenal wamepata draw kwenye mechi waliyokuwa wapoteze kwa magoli mengi tu.This could end up be a blessing in disguise!! Akili yao leo ililenga kumkaba sana Fabregas asifurukute, na mcheo ukawa predictable. Kwa kutokuwepo kwake, mchezo unakuwa tofauti kabisa. Naamini bado tuna nafasi nzuri tu, pressure itakuwa kwao wiki ijayo!!
Sasa inakuwa vipi Barca wawe na tatizo kwa mabeki? Maana kuna Milito, Marquez na Abidal anaweza kucheza pale!
Surely, the return leg depends 100% on which Almunia turns up on the day! Everybody knows he got two faces.Kama uliangalia vizuri na lama unaijua Barca nao wana tatizo kubwa tu la ulinzi kote wako kamili lakini ulinzi wako ovyo-so hii ni football lolote laweza tokea kuna alifikiria magoli yangerudi?
Thanks for confirmation, I didn't know you're the p...!Hata utukane mkuu the name is Wacha1 chelsick mko nje ya haya mashindano nyie chungulieni tu wakati wababe wanachapa kazi timu yenu mbovu hata hamuwezi kufika tulipofika sisi hasira hasara muulize mafia mkuu wako au taliban supporter. khe kheeeeeeeeeee
Ila Diaby kalegea sana leo......
Well said mkuu....Uingereza wamefulia mwaka huu...Sema Barca nao wakishambuliwa wanachachawa..hahaaaaaaaaa
😀😀😀 ha ha ha haaaa hhaaa...!
WACHA!
Missing you buddy!!!!
Tripo toka asubuhi nilikuwa nasisitiza kuwa tatizo ni hofu, sasa imeondoka, lazima barca atolewe kwao!
Beki sasa hawana maana Puyol na Pique visiki vyao wamepata kadi, washambuliaji wetu watakuwa wamepona!
...something is definately wrong with Barcelona, either wanajiamini na magoli yao mawili ya ugenini au Arsenal wamegundua 'upenyo' which makes Nou Camp encounter more entartaining...
We'll have nothing to lose kule!
Thanks for confirmation, I didn't know you're the p...!
You got a fluke to be there, that's a fact! That's why you didn't and will never show up against Barca. They stuffed your Fatty Arse!hamuwezi kufika tulipofika sisi hasira hasara muulize mafia mkuu wako au taliban supporter. khe kheeeeeeeeeee
You wish ... ... hivi mmeuza unga kiasi gani leo kwenye bar?
Hahahaha....dream on batty boy.Vijana watafanya kazi Nou wala hakuna shaka.
Arsenal pamoja na kuanza vibaya lakini wameweza kuwa draw mambo bado nimeona kulikuwa na fisi wengi kutoka Darajani kila siku wanasali tu ....
Mkuu nilikuwa Emirates leo si nilisema hii mechi haitanipita ... ...
Ushindi wa ugenini kama tulivyowapiga porto no worries there Come on Gunners!
There is only ome thing ambayo wapinzani wetu hawapendi kusonga mbele kwa kila mbinu I candream on 't wait mechi ya Nou kwa sababu hata Barca wanafahamu nini kitatokea. Tupo half time ... ...
Almunia amekula nini leo?!!!!! Is the man of the match so far....and that tells you something!
duuh! naona leo hakuna mtu hapa, kila mmoja kakimbia, kiroho juujuu!!!!! ngoja nami nitoke!
Is it Barcelona vs Hull city?
Gallas's out of gas!
No chance for Fabregas at Nou Camp, third yellow card!
boooooooooooo!!!!!!!! Half time......Fat Arse play beautiful football, MY FOOT! Arsenal is rubbish!! PRETENDERS AT BEST..!!!!
huuuuuureeeeeeeee!
labda mtacheza sasa!
OK! 1-0 though!
hahahaaaaaaaaaaaaaaa
PRETENDERS!!!!!!!!!!! Come on Wolves!!!!!!
Nope! We drew with Barca in a match we should have won if it wasn't for the stupid referee.
Hahahahaha! That was an away goal, but the game ended 1-1.
Ok Walcott, show me the comeback son!
He looks like your 12th player!..lol
ball possession first half 71% Barca 21% Arsenal....that tells u something.
Keep dreaming, 2-2 is very harsh to Barca!
what's that stupid Henry doing? He's giving away the ball all the time!
Halafu "EXPERTS" wa Fat Arse watakwambia refa kawaonea kwa sababu wanacheza mpira mzuri sana!
I agree, as a 12th Fat Arse player.
He's stupid because he can't differentiate the color of the shirts!
Barcelona simply blew chances after chances....Ngoja tuone watafanyaje Nou Camp!
Unaongelea Manure waliowafunga mechi 2 msimu huu au ipi hiyo?
Ok. Kojoa kalale! I can understand your thinking, it's an Arse syndrome. Any team that send out Chelsea is bound to be a Champ, my money is on Inter Milan this year!
You forgot to mention that Fabregas will be out as well. By the way, Barca don't really need centre backs, do they? Sikuona kama mabeki wao walikuwa na kazi kubwa ya kufanya leo hapo Imarati.
Hahahaha! No Siamii Manure ila nataka kuwa as fairly as possible!
Magoli manne tumeyaona ndugu yangu, lakini mawili yalikuwa on the wrong side of the pitch and very UNDESERVED!!