Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuwa "unlucky" sio kweli,ukweli ni kwamba u were not good enough this year.

matokeo 2-2 sasa kuna ugumu gani wa ku-swallow hapa?

mechi ya camp nou nakukaribisha mkuu hapa jukwaani tutaenda dakika baada dakika ,leo ulinikosa kwa vile nilikuwa kazini tu.lazima ukimbilie kwa mourhino jumanne ijayo ha ha ha
Nitakuwepo mkuu, sekunde kwa sekunde! Inaonekana hata mpira wenyewe hukuangalia kama ulikuwa mzigoni....kwa hilo nitakusamehe.
 
mkuu niko sharp sana mimi ,ndio maana sijaja kutoa comment mapema ilibidi niangalie mpira wote kwanza.

mara mwisho kukosa kutizama mechi ya arsenal hata sijui lini.
 
bora ukalale manake gooners humu hawakauki tunapishana tu,utakuja kukesha bila sababu wakati timu yako wala haigombanii hili kombe lool.
hahahaha! ok chief! Just started my Easter break, so I'm having some good time. BTW, jamaa wa Arsenal leo hawakanyagi kabisa hapa jamvini. Si unajua hype mliyokuwa mmetoa kabla, halafu ndio hivyo tena team imetia aibu.
 
hahahaha! ok chief! Just started my Easter break, so I'm having some good time. BTW, jamaa wa Arsenal leo hawakanyagi kabisa hapa jamvini. Si unajua hype mliyokuwa mmetoa kabla, halafu ndio hivyo tena team imeatia aibu.
matokeo yamefuta aibu mkuu.kusema wametia aibu sio vizuri kwani results za mechi utimika baada dakika 90.

kipindi cha kwanza offcourse tulizidiwa vibaya mno na kilicho sababisha naona vijana walifocus sana kwenye kukaba na pia hype ya mechi iliwazidia.

nina huakika jumanne watakuwa na confidence zaidi na tutapita tu.
 
Sidhani kama walifocus kukaba, maana Barca walikuwa wanapita kama wanakwenda sokoni, Almunia peke yake ndio alikaba vizuri vinginevyo biashara ilikuwa inakwisha mapema ndani ya dakika 15-20!
 
timu kama barcelona uki-focus kukaba inamaanisha kwamba mbele mnakuwa mnashindwa ku-hold mpira matokeo yake ndio yale jamaa wanawashambulia kama nyuki mpaka mnachanganyikiwa.

subiri jumanne mkuu utaona mwenye vijana watakavyo shambulia.
 
Sidhani kama walifocus kukaba, maana Barca walikuwa wanapita kama wanakwenda sokoni, Almunia peke yake ndio alikaba vizuri vinginevyo biashara ilikuwa inakwisha mapema ndani ya dakika 15-20!

Hahahahaha we chonga tu 🙂 I wish you a Good friday and Easter Monday.
 
Well said mkuu....Uingereza wamefulia mwaka huu...Sema Barca nao wakishambuliwa wanachachawa..hahaaaaaaaaa

Ngosha, sikukuona jana online wakti mtanange ukiendelea..ha ha ha..

Kuna watu wanasema eti Barca itakuwa haina beki, naona wanaota ndoto. Mnasahau kuwa Yahaya na Abdalah watakuepo kumalizia ngwe kwenye namba 4 na 5. Na mbaya zaidi Arse have to score, yaani Barca wanaeza wakaamua tu kucheza changamsha b.wege kaa walivofanya Imarati, na kushambulia mara chaaache pale watakapojisikia.
 
.....I am happy that we at least grabbed that draw.........otherwise Barca were the best side to be honest.....na tuwaacha wacheze wanavotaka, hasa first half!
 
Mr. Bean a.k.a Comical Ali na yeye anakubali kuwa ngoma ilikuwa nzito..lol

"It's not easy to accept it when your team are outplayed, but it certainly feels less upsetting than when we are kicked by teams and drop points in the Premier League. What we saw from Barcelona was art and it added up to a great night for football in many ways. I still feel we have a chance in the second leg, but clearly they are a fantastic team."
 
One loitering peasant has been Invisible for some time!
 
Hahahahaha we chonga tu 🙂 I wish you a Good friday and Easter Monday.

Jamaa walifikiri chandimu kumbe Arsenal walikuwa na plan B na kurudisha magoli. Sisi ni kwenda mbele tu next match wao waendelee kulialia kama kasuku hawawezi kuwa na pride na timu yao ya wezi, wauza unga na waporaji wakubwa wa wake za watu.
 
It was a tough game but am happy na draw, serious ilikuwa game ngumu
 
ahhhh! 🙁

Arsenal's Cesc Fabregas fears he may have a broken leg
BBC Sports News

_47572191_fabregasb466.jpg

Fabregas suffered his injury in a tussle with Barca's Carles Puyol

Arsenal captain Cesc Fabregas is due to have a scan on Thursday amid fears he broke his leg in Wednesday's 2-2 Champions League draw with Barcelona. "I fear the worst, which is that I have broken something," said the midfielder, who limped off after his late penalty.
"It is the fibula. I think I put my leg between [Carles] Puyol's when I was fouled, and kicked it."
William Gallas' season may also be over after he suffered a calf injury, and Andrey Arshavin also faces a spell out.
While defender Gallas was stretchered off just before half-time and seems likely to miss the rest of Arsenal's campaign, Arshavin told his website that he expects to be back from his calf problem in two to three weeks.
Gunners manager Arsene Wenger lamented the loss of both players, admitting that he had taken a risk on Gallas, who had missed the last six weeks through injury.
"Gallas has a calf strain and will be out for a while now," said Wenger. "I took a gamble that didn't pay off. Yes I regret that now. Arshavin has also done his calf."
Fabregas, who was a doubt before the quarter-final first leg with severe bruising to his knee and leg, was only declared fit to play after the final warm-up.

The 22-year-old was visibly pained after lashing in the equalising spot-kick five minutes from time against his boyhood club and left the Emirates on crutches.
"When I took the penalty, I was quite strong, but after when I went to get the ball, I could not walk any more," he added.
The Spaniard, who is suspended for the return leg in Barcelona after picking up a second booking of the competition, will have a scan on Thursday which may also have repercussions for his World Cup hopes.
"We have to wait, but I hope I can wear the Arsenal shirt again this season," he added.
"I do not think it is going to be good news, but still I hope there will be."
 
Jamani wana Arsenal wote tumwombee Nahodha Cesc apone mapema na kutuongoza kuwatoa Barca na kuingia nusu fainali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom