Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mfupa uliomshinda fisi nyau atauweza wapi??shukuruni mmepata penati kama ilivyokuwa na man utd last season,this was a masterclass,u've been given a lesson how to play football,barcelona is another level,u have long way to go.

What about you, who tought u 2 play football! Au nyie ndio walewale wa kusema LAZIMA arsenal ifungwe.........Poleni
 
Arse bana..yaani wanaishi ktk denial.Sasa hivi zile chance za first half Barca wangezitumbukiza kimiani si ingekuwa aibu?

Nadhani tungeenda kwenye kama 7-0 au zaidi
Barcelona simply blew chances after chances....Ngoja tuone watafanyaje Nou Camp!
 
mfupa uliomshinda fisi nyau atauweza wapi??shukuruni mmepata penati kama ilivyokuwa na man utd last season,this was a masterclass,u've been given a lesson how to play football,barcelona is another level,u have long way to go.

...acheni kutufananisha na Manure nyie bana,...😀
mtafurahi wenyewe jumanne ijayo.

Barca wameshindwa wenyewe kuua game leo...i thought it was all over....

All in all, what a reception, what a send off baada ya mechi for the Great man himself...
THIERRY HENRY, THE LEGEND!!!
 
Barcelona simply blew chances after chances....Ngoja tuone watafanyaje Nou Camp!

...Agreed, agreed!
Mcheza kwao hutunzwa, NOU CAMP ni balaa kelele zao lakini kumbuka Arsenal wana record nzuri sana ugenini mpaka sasa, hasa Spain....😀
 
Stupid arsnl playerz r so nervous of big games till last minutes.

Kwa kweli naogopa camp nou kama mambo ndo hivi kuogopa wanaume wenzao.

Wajitahidi kuzoea majina bana. Mbona MESSI wameweza kumficha mpaka akawa substituted!

Arsnl have 2 stop being lazy.
 
da gemu lilikuwa kali...kweli washikaji wanapiga boli..anyway tutawafunga magoli kwao!
 
Stupid arsnl playerz r so nervous of big games till last minutes.

Kwa kweli naogopa camp nou kama mambo ndo hivi kuogopa wanaume wenzao.

Wajitahidi kuzoea majina bana. Mbona MESSI wameweza kumficha mpaka akawa substituted!

Arsnl have 2 stop being lazy.

Tripo toka asubuhi nilikuwa nasisitiza kuwa tatizo ni hofu, sasa imeondoka, lazima barca atolewe kwao!

Beki sasa hawana maana Puyol na Pique visiki vyao wamepata kadi, washambuliaji wetu watakuwa wamepona!
 
...acheni kutufananisha na Manure nyie bana,...😀
mtafurahi wenyewe jumanne ijayo.

Barca wameshindwa wenyewe kuua game leo...i thought it was all over....

All in all, what a reception, what a send off baada ya mechi for the Great man himself...
THIERRY HENRY, THE LEGEND!!!
Unaongelea Manure waliowafunga mechi 2 msimu huu au ipi hiyo?
 
Stupid arsnl playerz r so nervous of big games till last minutes.

Kwa kweli naogopa camp nou kama mambo ndo hivi kuogopa wanaume wenzao.

Wajitahidi kuzoea majina bana. Mbona MESSI wameweza kumficha mpaka akawa substituted!

Arsnl have 2 stop being lazy.

I think safari imewadia🙂🙂...Na hili ndilo kosa walilolifanya,mabeki akili yao yote ilikuwa kumkaba Messi na kumsahau Ibra....Matokeo yake ndo haya....Anyways It's not over till it's over....Twendeni Nou Camp,anything can happen(miujiza...lol)
 
ulikuwa wapi dkk 990 za mtanange?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom