Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,882
Unaongelea Manure waliowafunga mechi 2 msimu huu au ipi hiyo?
eheee, ushaanza kushabikia manure sasa hata wikiendi haijafika?
au ndio unahamisha kambi mazee?
Ngoja nikalale mie,...Peasant you need a break or a 'kit kat' bana. Mlitaka magoli hayo manne mmeyaona.
Kalaleni sasa 🙂
~~~~~~ZZZzzzzzzz!!!....~~~~~