Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hatimaye amefika anapopataka
 

Attachments

  • 1482132285687.jpg
    1482132285687.jpg
    19.5 KB · Views: 30
For Arsenal to win the UEFA Champions league, they need a squad like this:

Goal keeper
Jackie Chan

Defenders
Schwarzenegger
Syllivester Stallone (John Rambo)
Maywether
Shaggy

Midfielder
Manny Pacquiao
Vladimir Putin (Captain,)_
Jet Lee
Mr. Bean

Strikers
Usian Bolt
Stephen Chao

Coach:
*Donald Trump*
 
Honestly Man city wamestahili 3Pts leo ila bado siogopi kusema mimi ni Arsenal najua wamejaa hapa kutoka nyumba mbalimbali natamani niwe Online ila serikali imenituma Ndalambo(Mbeya) uku kama wametengwa na nchi.
Jirani kwa visingizio sikuwezi!!!....... jana nimekumulika humu hadi kwa tochi holaaa... pole jirani yangu mwee!!!... jirani jitahidi nenda hata toilet uwe tu online si unajuwaga ninavyokupenda sasa ukiwa missed hapa sinaga furaha
 
Mpira unafundishwa Conley hata kama kuna ukungu ding dong khe khe khe khe the khe khe ...in wacha's melod
 
Doooojhhhh !!! Pole sana....umeona eeeh maumivu yake? ...halafu weee ukija kule ndo unazidigi kutuchafua....ila mm silipizi kisasi maana nikisema nirevange utakimbia humu halafu nitawaumiza wengi .
Jamani tutoeni pole turudi kwetu majirani msiba ulio wakumba mkubwa tuwape maneno ya faraja kama hivi.
 
Huu ni mwaka wa ngapi Mkuu hatujashinda kombe lolote ukiondoa lile kombe mbuzi la mwaka juzi? Tuna timu nzuri sana mwaka huu ya kuweza kula sahani moja na Chelsea lakini ndiyo wanatutupa mkono kwa sababu tu ya kukosa mikakati ya kimchezo ili kuhakikisha ushindi kila mara tunapokuwa ugenini au nyumbani. Nina imani kubwa kama tusingeamua kulinga goli moja na kucheza attacking football tungeweza kuongoza goli moja hata mawili na hivyo kuwavunja nguvu kabisa MANC pamoja na kuwa walikuwa kwao.
Ile sub ya kumtoa kiungo na kuingiza mshambuliaji ilikuwa nzuri kweli wakati mnashambuliwa? kama ni kamari basi ilikuwa kamari kweli au mimi ndio sikumuelewa wenger pale!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
arsenal is not one man team alikuwepo van purse yupo wapi.amehojiwa na sky sports anasema yupo poa arsenal atasign extension tu.acha Maneno ya mitaani
 
Ndiyo kikwazo kikubwa cha timu yetu kufanya vizuri kwenye mashindano mbali mbali. Na makosa yake ni kuanzia kwenye usajili wa timu, upangaji na mikakati ya kupata ushindi katika mashindano mbali mbali. Msimu huu nilisema nitafurahia kila mechi ambayo Arsenal itafungwa ili Wenger aondolewe haraka iwezekanavyo lakini si rahisi everlenk kufurahia pale timu yako uliyoipenda kwa kipindi kirefu inapofungwa na hasa ukijua fika ina uwezo wa kushinda mechi nyingi tu.

Bila kumtoa Wenger hii hali haitaisha.
 
Mie Mkuu huyu mtu simuelewi kabisa kusema kweli. Hata mimi nilishangaa pia.

Ile sub ya kumtoa kiungo na kuingiza mshambuliaji ilikuwa nzuri kweli wakati mnashambuliwa? kama ni kamari basi ilikuwa kamari kweli au mimi ndio sikumuelewa wenger pale!
 
Mie Mkuu huyu mtu simuelewi kabisa kusema kweli. Hata mimi nilishangaa pia.
Kwa hapo tupo pamoja huyo babu yenu anazeeka vibaya ile kitu mpaka sasa hivi sijaielewa alimaanisha nini! pana kasi flan hivi mnayo hata lile goli lenu ilikuwa counter flan hivi very amazing ila mkija kupoteana sana duh inakuwa kazi thanks mna golikipa anae timiza majukumu yake mpaka ya ziada angekuwa yule dogo mlio mpeleka roma sijui au labda angekuja ku improve.
 
Back
Top Bottom