Umenichekesha umenikumbusha utotoni ukishindwa malani unaanza ndioo maana kwenu amli ubwabwa kheeeeeeeeeeeePamoja na kushindwa game ya leo tiu yako bado incheza kila Ali Hamisi khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Umenichekesha umenikumbusha utotoni ukishindwa malani unaanza ndioo maana kwenu amli ubwabwa kheeeeeeeeeeeePamoja na kushindwa game ya leo tiu yako bado incheza kila Ali Hamisi khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Poleeee weeee baba poleeee....I'm still bold I'm humbled nina imani na kikosi changu
Huyu huku anauza CDTom Williams![]()
@tomwfootball
Lots of stick for City's Gundogan tribute, but Arsenal have let some guy in an 'OZIL 11' shirt run around on the pitch!
12:27 PM - 18 Dec 2016
![]()
Pole Honey ......m
Sasa hivi mtakuwa mnashinda mechi kwa manati. Mwisho wa msimu mtaanza kugombania muingie top 4.Tumeshatinga kwenye nafasi ya nne kwa uzembe tu, kama hatukuwa makini tunaweza kabisa kuendelea kushuka na kujikuta kwenye nafasi ya sita au ya saba. 🙁🙁🙁 Wameshaharibu siku hawa.
Poleeee..... nishakwambia hama hutaki.... njoo nikufariji wangu.Tumeshatinga kwenye nafasi ya nne kwa uzembe tu, kama hatukuwa makini tunaweza kabisa kuendelea kushuka na kujikuta kwenye nafasi ya sita au ya saba. 🙁🙁🙁 Wameshaharibu siku hawa.
Sasa hivi mtakuwa mnashinda mechi kwa manati. Mwisho wa msimu mtaanza kugombania muingie top 4.
Kwa kweli mna timu nzuri ila mna magonjwa yenu yale yale ya kila siku.LOL! tuna timu nzuri sana ila tatizo ni strategy yetu mbovu ya kutaka kulinga kagoli kamoja huku zikiwa zimebaki dakika chungu nzima. Saa nyinine huwa namuonea huruma Sanchez jinsi anavyojituma uwanjani halafu matokeo yenyewe ni kupigwa bao.
Poleeee..... nishakwambia hama hutaki.... njoo nikufariji wangu.
Sio siri moyo unaumaa yaani acha tuu but growing up means kulego vijimambo na kusettle mamboPoleeee weeee baba poleeee....

Kwa kweli mna timu nzuri ila mna magonjwa yenu yale yale ya kila siku.
Ulienda keko?We phucked![]()
![]()
Sikwenda my dear, kesho pia sidhani kama nitaweza kwenda mahakamani.Ulienda keko?
.Ataachwa huruSikwenda my dear, kesho pia sidhani kama nitaweza kwenda mahakamani.
Nina roho nyepesi nikimuona yule kaka yangu kizimbani naweza kuzimia kwa kilio.