BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Huyu Babu ni noma sana anaharibu motivation ya timu kabisa. Wakati wa summer alitaka kumuuza Girourd naye hakupenda kuuzwa lakini akakosekana mnunuzi sasa nadhani Girourd alimsemea hovyo hivyo adhabu yake msimu huu hajaanza hata mechi moja pamoja na kuwa ni tishio kubwa anapokuwa kwenye eneo la mihuuu 18 ya mtu mzima mwenye akili timamu. Aanendelea kusugua benchi tu hasi zibaki 15 to 20 minutes ndiyo jamaa anamuingiza. Hali ikiendelea hivi sitashangaa kuona Girourd akiondoka msimu ujao.
Kwa hapo tupo pamoja huyo babu yenu anazeeka vibaya ile kitu mpaka sasa hivi sijaielewa alimaanisha nini! pana kasi flan hivi mnayo hata lile goli lenu ilikuwa counter flan hivi very amazing ila mkija kupoteana sana duh inakuwa kazi thanks mna golikipa anae timiza majukumu yake mpaka ya ziada angekuwa yule dogo mlio mpeleka roma sijui au labda angekuja ku improve.
Hata kama ni wa nne kila mwaka ....ni chaguo lenu.
dont bother...... jana nimekusubiri nikupe mahabat hata hukuja huyu Wenger hata siyo mtu mzuri kabisa!