Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

View attachment 447861

Naona ulikuwa unaangalia kwenye TV ya mbao ... .... khe kheeeeeeeeeeeeeee
agenda ilikuwepo ili kuwakumbatia mancs na refa leo kawapa zawadi same
na Everton a corner which was not a corner.
Usiwe na wasi wasi na Gunners tupo sawa . .. ......
its a marathon
Kwahio Sane yuko mbele ya huo mstari?!
 
Ozil kama kafungwa mawe miguuni sio Yule wa Misimu 2,3 nyuma (poor performance).....
Sanchez ajaribu kuibeba Arsenal mabegani kuivusha upande wa pili je, ataweza ngoja tuone........
Majeruhi ya Mustafi yameondoka na ushindi wa Arsenal wamepoteza mechi 3 katka ligi,,,2 mfulululizo bila uwepo wake....
Now nafasi ya 4 gap la point 9 na kinala wa ligi.....tofauti ya point 1 tuu na Mtu wa 5...
 
2374c6840bde9867ef2cc97fc7cc464f.jpg

In Arsenal Voice
 
ozil-jpg.447889


mmejitahid sana hongereni.........
Ozil angecheza leo msingepga shot moja on target.

[HASHTAG]#FreeMaxcenceMello[/HASHTAG]
 
Hata wachezaji wanapoteza confidence waliyokuwa nayo hivyo kuanza kufanya vibaya katika mechi ambazo tunastahili kushinda. Timu nyingine ikipata goli ari inaongezeka ya kutafuta goli linguine zaidi ili kuwademoralize wapinzani, siye tukajiona tumeshashinda na kuamua kulinda kagoli kamoja.
Lakini BAK, wiki iliopita wakati mnaongoza ligi hamkuwa na mawazo ya kumtoa Wenger. Ila baada ya kurudi nafasi yenu ya 4 ndo hayo mawazo yameanza kuja. Kwanini?
 
Arsenal naona wanaiga chelsea . Wanafunga goli moja then wanaanza kulinda wakati hawana uwezo huo wa kulinda. Sasa ivi wanampango wa kumng'oa wenga.
 
Back
Top Bottom