Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huu ni mwaka wa ngapi Mkuu hatujashinda kombe lolote ukiondoa lile kombe mbuzi la mwaka juzi? Tuna timu nzuri sana mwaka huu ya kuweza kula sahani moja na Chelsea lakini ndiyo wanatutupa mkono kwa sababu tu ya kukosa mikakati ya kimchezo ili kuhakikisha ushindi kila mara tunapokuwa ugenini au nyumbani. Nina imani kubwa kama tusingeamua kulinga goli moja na kucheza attacking football tungeweza kuongoza goli moja hata mawili na hivyo kuwavunja nguvu kabisa MANC pamoja na kuwa walikuwa kwao.

Lakini BAK, wiki iliopita wakati mnaongoza ligi hamkuwa na mawazo ya kumtoa Wenger. Ila baada ya kurudi nafasi yenu ya 4 ndo hayo mawazo yameanza kuja. Kwanini?
 
15541990_1192197537532583_6504832607090402429_n.jpg
 
Aresnal ni km tembo aliyepandishwa juu ya mti msijiulize kafikaje huko na akidondoka pia siyo habari
 
Honestly Man city wamestahili 3Pts leo ila bado siogopi kusema mimi ni Arsenal najua wamejaa hapa kutoka nyumba mbalimbali natamani niwe Online ila serikali imenituma Ndalambo(Mbeya) uku kama wametengwa na nchi.
 
upload_2016-12-18_21-47-38.png


..... should BOTH goals have been ruled offside?

upload_2016-12-18_21-49-33.png


upload_2016-12-18_21-49-47.png


upload_2016-12-18_21-50-16.png


upload_2016-12-18_21-50-28.png


upload_2016-12-18_21-50-40.png


upload_2016-12-18_21-50-52.png


upload_2016-12-18_21-51-4.png


upload_2016-12-18_21-51-19.png


upload_2016-12-18_21-51-34.png


upload_2016-12-18_21-51-53.png


upload_2016-12-18_21-52-5.png


upload_2016-12-18_21-52-19.png


upload_2016-12-18_21-52-33.png


upload_2016-12-18_21-52-43.png


upload_2016-12-18_21-52-56.png


upload_2016-12-18_21-53-9.png


upload_2016-12-18_21-54-31.png


Man of the match .... ... anaangalia ...
two different referees cost us two matches kisa ..... ...Hawataki Pepsi akimbie EPL ...


 
Hivi hii picha ni ya mwaka gani tena?
Umeibuka khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aliyeanzisha mada kakimbilia Real Madrid oooops Salamander oooops .....@GT tumemuomba abadili hizo picha kakataa, then mods wana wivu na threads za Gunners uliza iko wapi ''New Era at the Emirates'' imekomelewa kwa sababu ya husda tu khe khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. welcome back anyway.
 
View attachment 447948

..... should BOTH goals have been ruled offside?
.....
Man of the match .... ... anaangalia ...
two different referees cost us two matches kisa ..... ...Hawataki Pepsi akimbie EPL ...

Wacha1
Arsenal baada ya kufunga bao walitakiwa kukanyaga mafuta, wao waliamua kupunguza mwendo na kuwaacha Man. City wafanye mashambulizi. Hili ni kosa linalojirudia kwa Arsenal. Wangelifunga bao la pili, wangepata breathing space, likikombolewa moja ,wanafungulia mbwa tena. Kwa mtindo huu wa Arsenal sioni kama wako serious kuchallenge ubingwa wa EPL. Timu inayopoteza mechi 6 inasemwa itausikia ubingwa redioni tu. 3 to go.

Kwa nini Xaka haruhusiwi na Wenger kuvurumisha makombora ya scud?

Sasa mwezi wa January ukiisha ndio tutafahamu muelekeo wa "bingwa" wa EPL kwa msimu huu.
Nimtakieni kila la heri kwa safari ya kufukuza kivuli.

Wenger in or out?
 
Back
Top Bottom