Lakini BAK, wiki iliopita wakati mnaongoza ligi hamkuwa na mawazo ya kumtoa Wenger. Ila baada ya kurudi nafasi yenu ya 4 ndo hayo mawazo yameanza kuja. Kwanini?
Khe khe khe khe khe.....We acha matani bhana. Ozil alikwepo
Habari yako dear!Acha kufananisha Arsenal na vitu vya kipuuzi wewe [emoji35] [emoji379]
Huu utani wa ngumi....Game kama hizi sio za kumuacha ozil bench..
Mtumisho hewa, kama kawaida hajawahi kuonekana akicheza vizuri gemu kubwa yoyoteTom Williams
[emoji818] @tomwfootball
Lots of stick for City's Gundogan tribute, but Arsenal have let some guy in an 'OZIL 11' shirt run around on the pitch!
12:27 PM - 18 Dec 2016
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona leo ulivyofurahi.Habari yako dear!
Huu sasa umbea tena uliyokubuu na hapo humtoi Ng'oooo. Kashafika kwenye nafasi yake. Watu buana
Aaaah Nifah bhana, umebadili avatar aisee. Tulizoea ile lips yenye rangi nyekundu. Irudishe bhana.Acha kufananisha Arsenal na vitu vya kipuuzi wewe [emoji35] [emoji379]
Hii ni special kumuenzi kaka yangu mpendwa Max.Aaaah Nifah bhana, umebadili avatar aisee. Tulizoea ile lips yenye rangi nyekundu. Irudishe bhana.
Khe khe khe khe mara hii [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG] band wagon lishaanza?!no intensity,no motivation...[HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG]
Umeibuka khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aliyeanzisha mada kakimbilia Real Madrid oooops Salamander oooops .....@GT tumemuomba abadili hizo picha kakataa, then mods wana wivu na threads za Gunners uliza iko wapi ''New Era at the Emirates'' imekomelewa kwa sababu ya husda tu khe khe khe heeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. welcome back anyway.Hivi hii picha ni ya mwaka gani tena?
View attachment 447948
..... should BOTH goals have been ruled offside?
.....
Man of the match .... ... anaangalia ...
two different referees cost us two matches kisa ..... ...Hawataki Pepsi akimbie EPL ...
Huwa unakuja huku tukipatwa na balaa tu!!Khe khe khe khe mara hii [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG] band wagon lishaanza?!