Unanikumbusha Leonard Mambotele mtangazaji wa KBC zamani kama wao wana Sunday sisi tuna Monday Luo Union vs Yanga Mombasa FAINAL Club Bingwa Africa Mashariki 197647 min MC levels with an offside goal ... ..
Hatuna uwezo wa kulinda goli sisi. Taratibu tunarudi kwenye nafasi yetu.
[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]