sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
kushangazwa ni hali ya mtu ambae haujamtegemea akafanya jambo la kishujaa...............hao wengine una mategemeo nao so hawatakushangaza.Tunaweza kushangazwa na Chelsea, Liverpool, Man city na Spurs lakini sio MANURE!! sio kwa kocha yule!!![]()
![]()

