
Sisi haituhusu. Hata wakicheza tutawapiga tu hakuna namnaArsenal walifurahia red card ya aquero na ferdandihyo.
It turned out to be a good week end after all. 2 defeats 1 draw to our rivals.

ila watakuja uku watakuambia mfukuzeni AW duh kweli mnafiki hajifichi,ukiona adui yako anakutakia mema amka anakutumbukiza mtoni.
dah kashikilia kiuno vizuri.![]()
Call 911.....![]()
hongereni kwa ushindi na kwa kuwa nafasi ya pili..........msijisahau sana msimu bado unaendelea.


ndiyo maana yake............uko mbeleni unawezaa kushangazwa...........Ligi bado mbichi enheeeeee.....!hii tofauti ya Pts isitutishe kila timu ina nafasi ya kua bingwa![]()
Ndicho ulichoonadah kashikilia kiuno vizuri.
Lakini sio kwa ManchesterLigi bado mbichi enheeeeee.....!hii tofauti ya Pts isitutishe kila timu ina nafasi ya kua bingwa![]()
ndiyo maana yake kakikamatia haswa.Ndicho ulichoona
shaulilo..........Lakini sio kwa Manchester
Tunaweza kushangazwa na Chelsea, Liverpool, Man city na Spurs lakini sio MANURE!! sio kwa kocha yule!!ndiyo maana yake............uko mbeleni unawezaa kushangazwa...........

dah kashikilia kiuno vizuri.
