Bila shaka mkuu, ikiwezekana sisi wakongwe tuwepo hapa kuburudisha na kuweka mambo sawa.
Mimi nipo tayari kabisa kurusha updates moja kwa moja kutoka Emirates kuanzia saa 8 kamili mchana kwa saa za Afrika mashariki.
Mechi siku hizi zinaamuliwa mapema ukitangulia kufungwa mapema ni ngumu kurudi mchezoni ndio maana Arsenal alimfunga Chelsea kipindi cha kwanza,Kuwafunga Chelsea cheza mpira wa kasi,washambulie na usikose magoli,Chelsea ya sasa wakiwa na mpira wamekuwa wanatumia nafasi vizuri na wanashambulia toka pande zote (Alonso,Moses,Matic,Pedro,Hazard) wameadapt system ya kocha mapema
Toa Ramsey weka WalcottLatest Team news
Arsenal wana wachezaji kadhaa ambao ni majeruhi kama Danny Welbeck, Per Mertesacker, Lucas Perez na Chuba Akpom.
Hector Bellerin a,bae alokosa mechi ya jumanne na Ludogorets yupo fit na Granit Xhaka ambe alikuwa kitumikia adhabu ya kadi nyekundu atakuwemo kwenye timu.
Tottenham wao pia wana wachezaji ambao ni majeruhi Toby Alderweireld na Erik Lamela na Mousa Dembele .
Moussa Sissoko anatumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa wiki ilopita Spurs walipocheza na Bournemouth.
Hivyo basi, timu zinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo:
Arsenal: Cech, Bellerin, Mustafi, Koscielny, Monreal; Coquelin, Xhaka; Ramsey, Ozil, Sanchez; Giroud
Akiba : Iwobi, Gibbs, Walcott, Elneny na Gaby.
Tottenham: Lloris; Walker, Dier, Vertonghen, Rose; Wanyama, Winks; Eriksen, Alli, Son; Janssen
Sio kweli, Man City wamefunga mapema leo wametoa draw, West Ham mwaka jana walisumbua sana timu kubwa leo wamefunga mapema wametoa draw.
EPL ni mbinu za makocha kubadili mchezo nk. Kila timu inataka ushindi kwa sababu hata timu ambazo zilikuwa zinaitwa ndogo hivi sasa kutokana na TV money wanacheza kwa kujituma. Everton goli la kwanza kama uliangalia mchezo wao ni makosa yao wenyewe kupoteza mpira kwenye eneo la Chelsick pamoja na makosa mengine. They were very weak actually (I watched first 30min).
Chungu lakini dawa, mashabiki wa arsenal wanajitia upofu wa kumbukumbuKwani sis arsenal tuna mpira gani. Kaka tusiwe watu wa kusahau kumbuka msimu 2013/2014 tuliongoza ligi adi january but unakumbuka nin kilitokea. Mim chelsea huwa siwabezi hata kidogo. Chamsingi tuongeee ya kwetu tupate point 3 basi tusonge mbele
Acha zako ww,unaleta historia hapa kwendaaaaaaaaaaaaaaKwani sis arsenal tuna mpira gani. Kaka tusiwe watu wa kusahau kumbuka msimu 2013/2014 tuliongoza ligi adi january but unakumbuka nin kilitokea. Mim chelsea huwa siwabezi hata kidogo. Chamsingi tuongeee ya kwetu tupate point 3 basi tusonge mbele
Msigombane nendeni taratibuAcha zako ww,unaleta historia hapa kwendaaaaaaaaaaaaaa
Unauliza tuna mpira gani ?????hovyo kabisa wewe epl nzima kuna timu inatandaza soka safi kama arsenal??!!??kama hujui uwe unakaa kimya kuropokaropoka unajiaibisha dada yangu
Kweli kabisa mkuu.. Hawa tukiwachezea mpira wa taratibu wa kupanga mashambulizi kutokea nyuma taratibu itakuwa soo.. Dawa ni mpira wa kasi tu na counter za maana.. Watakaa tu.. Hawa ukiwapa nafasi ya kukupiga wewe counter ni shida sana..hii game ya ox, walcot or sanchez, yaan speed na counter za ajabu ndio ztakazo tupa ushind.. assist ziki simamiwa na fundi maestro the man by himself
Habari za mchana wana gunners mpoo?
ok pamoja na hayo lakini leo kwa Spurs hamchomokiAcha zako ww,unaleta historia hapa kwendaaaaaaaaaaaaaa
Unauliza tuna mpira gani ?????hovyo kabisa wewe epl nzima kuna timu inatandaza soka safi kama arsenal??!!??kama hujui uwe unakaa kimya kuropokaropoka unajiaibisha dada yangu