Hongera na wewe, naona mmebakiza mechi za vilema tupu mshindwe wenyewe.
The Russian silences the crowd
The challenges are flying in! Sol Campbell and Kamil Zayatte clash in a 50-50, Zayatte comes out worse off and has to be replaced.
Hull City supporters show their dislike for Arsenal with a banner.
Theo Walcott comes off the substitute bench in the second half to help Arsenal push on for a second goal.
Just when Hull thought they'd earned a vital point, Myhill palms a Denilson shot to Nicklas Bendtner, who fires in off the turf to grab a winner.
ahsante kwa leo, ngoja nichungulie kwenye siasa nione kama kuna issue leo.
Surely, hali sio nzuri kabisa kisiasa nyumbani. Yaani ni kama tunapiga hatua moja mbele na tano nyuma! I hate the fact that CCM inaonekana kuendelea kuwa na nguvu wakati tunashuhudia matatizo kibao ya ufisadi wao. Nashangaa kwanini opposition wanaonekana kushindwa ku-take advantage iliyokuwepo kwa uchaguzi wa mwaka huu! The sad fact ni kwamba mojawapo ya nguvu za CCM ni uwepo finyu wa wapinzani wenye malengo hasa ya kuiondoa madarakani. I just hope I'll live to see another party ruling the country.Kwenye siasa hakuna kitu Mkuu. Siyo siri kwamba miezi 10 kabla ya uchaguzi tumeshajua kwamba Kikwete atarudi tena madarakani kwa ushindi wa Tsunami na CCM watajizolea viti vingi vya bunge. Uchaguzi wa 2010 hauna tena ushindani ambao wengi tulidhania utakuwepo.
Acha hizo Mkuu...Hakuna Vilema EPL ndiyo maana league hiyo imekuwa na umaarufu mkubwa duniani. Angalia wale Burnley wako hatarini kushuka daraja lakini waliwatoa nishia MANU. Angalia leo hawa HULL nao wako mkiani lakini ukizembea tu basi wanaweza kabisa kukugeuzia kibao. Hivyo kwenye karatasi mechi zetu nyingi zinaweza kuonekana ni rahisi, lakini ukweli si hivyo timu nyingi zinaingia uwanjani kwa kujiamini kama watajituma basi wanaweza kabisa kuithibiti Arsenal na hata kushinda. Nasubiri kesho niangalie karamu ya magoli ya Rooney au SAF anaweza kuamua kumpumzisha maana March 21st wanakipiga na L'pool.
Nice pic! From left to right:
Hull City supporters show their dislike for Arsenal with a banner.
Nice pic! From left to right:
1. Stop diving, you diving lot (Eduardo, Eboue, Van Persie.....)
2. Stamping on the opponent's foot is prohibited, you idiot Nasri.
3. Mr. Fabregas, spitting at an opponent or opposition official is not part of football game we all love! Try using surgical mask if you can't keep your mouth shut!
4. Arsene Whinger simply never see any of dirty tricks used by his team! You must be ashamed of yourself, it's time now you take off your blindfold!
GUNNERS ARE LAST-GASP MASTERS
Nicklas BendtnerΒs late goal in last nightΒs 2-1 win at Hull was the seventh time Arsenal have scored in stoppage time in the Premier League this season, and the fifth time they have done it in the past four games in all competitions. It was the sixth time Hull have conceded in stoppage time in the league. ArsenalΒs late win seemed inevitable. They have scored 15 goals in the last 10 minutes this season, more than any other Premier League side, while Hull have conceded 14 in the same period, also more than any other top-flight side.
4-2=2 au umesahau hisabati, Man Citeh wametufunga 2 bila, ...lol
Lakini kumbuka na nyie mlivyoburuzwa na na wakubwa zenu Chelsea na ManU?
5000!!! replies in Arsenal thread, woooooow! ...what a milestone.
'Bigggggggggguuuuuup! ' all Gunners!
Together we stand!!! π
'wenye wivu wajinyonge!'
5000!!! replies in Arsenal thread, woooooow! ...what a milestone.
'Bigggggggggguuuuuup! ' all Gunners!
Together we stand!!! π
'wenye wivu wajinyonge!'
Nafikiri nimechangiakama 20% hivi....lolππ
Haya Mkuu Ahsante sana kwa 20% ya mchango wako π...lakini watu wa GUNNERS baada ya kupitia michango yako kwenye thread hii kwa haraka haraka π wanadai umechangia 1.5% tu....LOL!
Fanyeni hizi tathmini may ndo zitakuwa na hesabu nzuri kwavile itakuwa mwisho wa msimu.Hapa siku hizi ni vicheko tu hongereni wadau.aha ha haaaaa... Peasant chukua 'shilingi yako na thumni', ndio thamani ya share zako humu jamvini kwa washika bunduki!!!! πππ
WENGER BELIEVES
TITLE TILT IS ON FOR ARSENAL
Boss thought Gunners were out of it
WENGER: Celebrating with Denilson
Unless Didier Drogba is not playing anymore!This is THE NEW INVINCIBLES!