Hater ooh goli la mkono, kang'oeni viti basi
hehe hongera naona ulibaki peke yako hapa wenzako walienda fire exit.
Draw ya nini wamebana wameachia




Kuna mjinga anasema eti goli kama la Tambwe
Tumeshinda lakini Wenger abadili style ya uchezaji hizi pass nyingi bila magoli hazisaidii sana watu wajaribu pia kupiga mipira nje ya 18Niliheshahesabu 2points dropped.. Kidogo nimeseme tumegeuka kuwa Manchester United ya sasa.
Ile ilikuwa ball to hand na mpira ilikuwa umeshaingia tayariHater ooh goli la mkono, kang'oeni viti basi
Tumeshinda lakini Wenger abadili style ya uchezaji hizi pass nyingi bila magoli hazisaidii sana watu wajaribu pia kupiga mipira nje ya 18
Timu ikikutana na timu inayojaza watu nyuma kujilinda inashindwa kabisa kupasua defence na kufunga kama ilivokuwa, leo
Duh, alifunga kwa mkono, kichwa au mguu?Koscielny celebrates scoring the winner
Duh, alifunga kwa mkono, kichwa au mguu?
Aisee! FA wafanye retrospect ya mabao pia. Burnley kama Hull alibania siku ya Man. United mwishoni aliinamisha kichwa mwendawazimu akanyoa. Leo Burnley walisema hawatonyoa nywele, naona dakika za majeruhi, wameinamisha kichwa na Arsenane amewanyoa. Atakayefuata ajiandae Burnley atamalizia hasira siku hiyo. Lazima amuunguze mzururaji.
Mpira ulifuata mkono au mkono ulifuata mpira?Alifunga kwa mkono Mkuu, hakuna sababu ya kupindisha ukweli Mkuu.
Leo mhhhhh![]()
......




kesho nawahi job mapema sana w'end murua.