Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Duh, alifunga kwa mkono, kichwa au mguu?
Aisee! FA wafanye retrospect ya mabao pia. Burley kama Hull alibania siku ya Man. United mwishoni aliinamisha kichwa mwendawazimu akanyoa. Leo Burnley walisema hawatonyoa nywele, naona dakika za majeruhi, wameinamisha kichwa na Arsenane amewanyoa. Atakayefuata ajiandae Burnley atamalizia hasira siku hiyo. Lazima amuunguze mzururaji.
Haters wanasema kuna makosa mawili offside na handball.
Madai yote hayana msingi kwani hata kama Koscielyn asingeguswa na mpira bado mpira huo ulikuwa ukienda kimiani baada ya kuguswa na Alex-Oxlade Chamberlain.
Mwamuzi kaona mpira umemgusa Koscielyn na sio Boss kaugusa mpira kwa makusudi.
Mkuu Mwanakijiji ana mada hapa inafafanua hili la mpira kugusa mkono.

