Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Internationals break inaweza kutusaidia endapo tutashinda leo. Wachezaji wamechoka
 
Kwa mara nyingine tunaonyesha weakness ya kutochukuwa advantage ya ubovu wa timu nyingine... Ngoja nitafute usawa mpya, nitakuja kutafuta matokeo...
 
No points leo... Nimechokaaaaaaaa... Elnerny na Ox hawataleta matunda...
 
hahahahahahaha the last kick of the game.... close down to 2 points.....
 
Dah leo hali ilikua mbaya..Leo tumebahatisha,wachezaji hawakuwepo kwenye mchezo kabisa
 
851122b1-5c21-494a-9697-5b0eb9e49e57.jpg


Ilikuwa ni lazima Arsenal wawafunge hawa jamaa.

Huwezi kuchezewa nusu uwanja halafu ulalamike kuna goli la mkono.

Arsena wanastahiki 3 points leo.

COYG!!!
 
Back
Top Bottom