rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Ndio mashabiki tulivyo, ligi ndio imeanza tunataka kila mtu acheze. Juzi nikasoma wengine wamefurahi Me Coq kuumia ili Xhaka acheze, hatujui kuwa timu ikianza kuwa na majeruhi inaikosesha balance, matokeo yake utakuwa na wachezaji watano majeruhi na kupunguza competition
Wabongo na kipya kinyemi. Ukipata mshahara tarehe 25 unautumia kama vile ni maji ya mto, ikifika tarehe 10 huna hata nauli. Huwa siwaelewi hawa wapenda soka.
