Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ninachokiona kwa wenger

Anataka kumbadili sanchez jumla awe namba 9

Winga atabakia Iwobi, walcoth,alex chamberlai n,.

Sasa itakuwa ushindan kati ya perez,giroud na sanchez

KUNAKOELEKEA SANCHEZ ATAIZOEA NAMBA 9
Jana Sanchez kacheza false nine, huwezi kutumia mbinu hiyo hiyo kwa kila game. Lucas na Giroud ni muhimu sana hasa wakati mzee akitaka kubadilisha tactics.
 
MECHI YA JANA NILICHOGUNDUA

1) Kante hamuwezi ozil tangu akiwa leicester jana kaburuzwa

2) ili umpite mustafi unatakiwa upite juu

3) bora aanze coquelin kuliko xhaka

4) chelsea beki aliyebaki ni zouma tu

5) jana hazard angecheza mechi chelsea ingeshinda

6) xhaka a.k.a pweza ndio mchezaji anayependwa zaidi arsenal kila akigusa mpira hata akiwa golini kwake watu wanamwambia shooot

7) ozil hata angekua amejifunga kitambaa usoni angecheza vizuri maana zile pasi za kupiga kushoto na kuangalia kufika kilikua kitu cha kawaida sana

8) baada ya messi yale magoli anashinda sanchezi tu

9) yule the flash (google it) hamuwezi bellerin kwa kukimbia

10) Arsenal imefuta uteja
Namba 1: Kweli tupu.
Namba 2: Kweli tupu.
Namba 3: Kweli lakini Xhaka tumpe Muda. Ana vitu ambavyo Coquelin hana, mf long distance shoots.
Namba 4: Kweli tupu.
Namba 5: Wale jana walikufa wote. Hata angecheza Zouma, sio kwa Iwobi yule! Sio kwa Ozili yule! Sio kwa Sanchez. Kifupi sio kwa Arsenal ya jana.
Namba 6: Kabisa.
Namba 7: kweli tupu. Najuta kuchagua Shule. Yalikuwa mambo yangu yale.
Namba 8: Kweli tupu. Kanikumbusha Henry.
Namba 9: Umenipoteza. Nani huyu? Google inanipotosha.
Namba 10: sisi wa Pwani tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
 
MECHI YA JANA NILICHOGUNDUA ...4) chelsea beki aliyebaki ni zouma tu
5) jana hazard angecheza mechi chelsea ingeshinda
.....
10) Arsenal imefuta uteja
Soma orodha ya line-up ya Chelsea ya jana.

Hazard was hazard to himself jana. Aliishiwa na mbinu zote, zile za mpira na zile za marshall art;judo. Conte alimtoa hazard dakika. ya 71 na kumwingiza yule dogo, Batshuayi aliyekosa kufunga akiwa yeye na Cech tu.

Link Arsene Wenger says win over Chelsea was one of Arsenal's best recent displays

.....
Namba 5: Wale jana walikufa wote. Hata angecheza Zouma, sio kwa Iwobi yule! Sio kwa Ozili yule! Sio kwa Sanchez. Kifupi sio kwa Arsenal ya jana.
!
Msome Wenger hapo juu kwenye link. Bofya link hiyo.
 
Ninachokiona kwa wenger

Anataka kumbadili sanchez jumla awe namba 9

Winga atabakia Iwobi, walcoth,alex chamberlai n,.

Sasa itakuwa ushindan kati ya perez,giroud na sanchez

KUNAKOELEKEA SANCHEZ ATAIZOEA NAMBA 9
Na usisahau GIBBS kuna namba anahamishiwa.
 
Frankly speaking sijawahi kua na tatizo na AW ninamuani jana na kesho kwangu naamini Arsenal inamuhitaji AW kuliko yeye anavyohitaji Arsenal yapo mapungufu ambayo naamini yanasababishwa na wengi sio AW pekee ake.
 
Wenger Ni mtu kwenye busara na anajiandaa kuondoka.baada ya ujenzi wa uwanja arsenal imekuwa na bajeti finyu Ni heshima Wenger kuondoka kwa heshima anayostahili.
 
Namba 1: Kweli tupu.
Namba 2: Kweli tupu.
Namba 3: Kweli lakini Xhaka tumpe Muda. Ana vitu ambavyo Coquelin hana, mf long distance shoots.
Namba 4: Kweli tupu.
Namba 5: Wale jana walikufa wote. Hata angecheza Zouma, sio kwa Iwobi yule! Sio kwa Ozili yule! Sio kwa Sanchez. Kifupi sio kwa Arsenal ya jana.
Namba 6: Kabisa.
Namba 7: kweli tupu. Najuta kuchagua Shule. Yalikuwa mambo yangu yale.
Namba 8: Kweli tupu. Kanikumbusha Henry.
Namba 9: Umenipoteza. Nani huyu? Google inanipotosha.
Namba 10: sisi wa Pwani tunasema KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Ni series flani ya mtu anakimbia anapita hadi upepo
 
Hahaaaaa kwani iwe kwetu tu
Afu uzuri wa arsenal moto wenu unakuwa kabla hamjaenda xmass.....lakini mkishatoka kula pilau la xmass....basi shida inaanzia hapo ni kipigo kwa kwenda mbele......
 
Back
Top Bottom