Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hatutakiwi kuishi ulimwengu wa kukariri tu kuwa Arsenal without Arsene is not Arsenal.....maana hata George Graham aliondoka vilevile na hatukutetereka
 
sio rubaman tu...hata mimi natamani hata aachie ngazi akapumzike, awaachie vijana waendeleze kazi wakiwa na mawazo mapya
Swali nani sasa?? ujue ni rahisi kuongea kama hivyo kwa kua umemchoka babu lakini usisahau babu ndio huyu huyu kakufikisha ulipo. We need long term committed coach mwenye vision ambayo haita leta impact kama utalinganisha na misimamo ya bodi ya kupata faida.

Mzee kaifurahisha bodi kiasi imejisahau lakini timu haijapotea, sasa shida itakuja sisi tufurah bodi ifurahi sijui kama unanielewa!?
 
Guardiola, Henrique, Zidane, Simeone.....wote hao hakuna aliyepoteana baada ya mabadiliko
Sio kwa team kama arsenal nyinyi sio wageni na arsenal mfumo uliopo pale ndio source ya yanayotokea shida zidane kufanya anchofanya au guardiola ni kawaida sabu hawako arsenal pale ni arsenal usifananishe mifumo ya arsenal na timu yoyite ile, mabosi wa arsenal wamejikita kupata faida zaidi kuliko kufika mbali zaidi in term of trophies wao hawaangalii hilo
 
hatutakiwi kuishi ulimwengu wa kukariri tu kuwa Arsenal without Arsene is not Arsenal.....maana hata George Graham aliondoka vilevile na hatukutetereka
Grahaman aliondoka sawa hatupingi but u akumbuka hodi hodi za wenger?? Swali zuri ni nani akio doka wenger atatifikisha
 
Suala la kupata mbadala wa babu Wenger si jambo dogo linaitajika utulivu na upembuzi yakinifu ili mabadiliko yasituhathiri,rejea man utd kabla na baada ya fergie kipindi wanachopitia na hata mourinho si mbadala sahii wa fergie..ningependa wenger angeendelea mbadala wake sijamuona bado
 
kwani kati ya hao niliokutajia hapo juu nani aliwahi kufanya hata usajili wa total sum ya 100 million Pounds kwenye dirisha la usajili?

Mfano rahisi ni Zidane na Simeone....kila uchao tunaona wanaopt kuweka academic graduates wao kwenye first team

Hata sisi sio kwamba tunahitaji ati kocha mwenye kujua kumwaga pesa sana bali kocha mwenye mawazo tu anatosha....We should believe in our former stars coz wanajua misingi ya timu
 
Kabisa umenena vyema
 
Grahaman aliondoka sawa hatupingi but u akumbuka hodi hodi za wenger?? Swali zuri ni nani akio doka wenger atatifikisha
Wakati wewe ukiona kuwa hakuna watu wakutufikisha mahali isipokuwa AW wenzako kila uchao wanawaamini haohao unawaona si kitu wanawaweka kwenye mabenchi ya ufundi ili wayatumie mawazo yao
 
kwani kati ya hao niliokutajia hapo juu nani aliwahi kufanya hata usajili wa total sum ya 100 million Pounds kwenye dirisha la usajili?

Mfano rahisi ni Zidane na Simeone....kila uchao tunaona wanaopt kuweka academic graduates wao kwenye first team

Hata sisi sio kwamba tunahitaji ati kocha mwenye kujua kumwaga pesa sana bali kocha mwenye mawazo tu anatosha....We should believe in our former stars coz wanajua misingi ya timu
Vizuri, sikupingi kabisa lakini misingi ya madrid ni watu wakutumia pesa simeon sawa lakini angalia mbele na nyuma
 
Vizuri, sikupingi kabisa lakini misingi ya madrid ni watu wakutumia pesa simeon sawa lakini angalia mbele na nyuma
kubali usikubali ila ni lazima the old man (AW) aende ili kufungua njia ya kupata mawazo mapya na wenye uchu wa kutengeneza CV zao
 
MECHI YA JANA NILICHOGUNDUA

1) Kante hamuwezi ozil tangu akiwa leicester jana kaburuzwa

2) ili umpite mustafi unatakiwa upite juu

3) bora aanze coquelin kuliko xhaka

4) chelsea beki aliyebaki ni zouma tu

5) jana hazard angecheza mechi chelsea ingeshinda

6) xhaka a.k.a pweza ndio mchezaji anayependwa zaidi arsenal kila akigusa mpira hata akiwa golini kwake watu wanamwambia shooot

7) ozil hata angekua amejifunga kitambaa usoni angecheza vizuri maana zile pasi za kupiga kushoto na kuangalia kufika kilikua kitu cha kawaida sana

8) baada ya messi yale magoli anashinda sanchezi tu

9) yule the flash (google it) hamuwezi bellerin kwa kukimbia

10) Arsenal imefuta uteja
Nimependa analysis yako kiongozi MO11. Lakini Xhaka bado anajifunza ligi ya uingereza, tumpe muda. Mustafi anatengeneza bond nzuri sana na Konsienly, naamini sasa tutakuwa na ukuta imara.
 
Back
Top Bottom