Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 500
Kwa furaha niliyonayo acha tu na mimi ni comment kuthibitisha furaha yangu
Itawachukua miaka kumi tangu Fergie aachie ngazi kuupata ubingwa, anza kuhesabu;Afu uzuri wa arsenal moto wenu unakuwa kabla hamjaenda xmass.....lakini mkishatoka kula pilau la xmass....basi shida inaanzia hapo ni kipigo kwa kwenda mbele......
Afu uzuri wa arsenal moto wenu unakuwa kabla hamjaenda xmass.....lakini mkishatoka kula pilau la xmass....basi shida inaanzia hapo ni kipigo kwa kwenda mbele......
SijakuelewaJumatano tutakipiga vs Manyang'au wa Old Trafford ndani ya UCL lol
Huwa wanatuhujuumia wachezaji wetu wakatii wa makulaji ya xmassUna maana hii ni timu Ya sikukuu???
Nyie mpaka sasa mnamiaka mingapi tangu mchukue ubingwa.? Na huyo wenger wenu.Itawachukua miaka kumi tangu Fergie aachie ngazi kuupata ubingwa, anza kuhesabu;
David Moyes July, 2013 - Apr, 2014
Ryan Gigs April, 2014 - May, 2014
Louis Van Gaal July, 2014 - May, 2016.
Jose Moron May, 2016----->
3yrs on, endelea kuhesabu.
Ndiyo maana yake.....wewe haujagundua hii kitu.Una maana hii ni timu Ya sikukuu???
Kumbe nawe umeona eeeh.J
Huwa wanatuhujuumia wachezaji wetu wakatii wa makulaji ya xmass
Hata kama chelsea wakichezesha Taifa stars,Arsenal watafungwa tu.
Hahahaha ayarudie wapii amelowanaHaya maneno yako unaweza kuyarudia?
we timu yako ipi kwanza nijue usije ukawa wa majimaji bureAfu uzuri wa arsenal moto wenu unakuwa kabla hamjaenda xmass.....lakini mkishatoka kula pilau la xmass....basi shida inaanzia hapo ni kipigo kwa kwenda mbele......
Manchester United.........we timu yako ipi kwanza nijue usije ukawa wa majimaji bure
Manchester United.........we timu yako ipi kwanza nijue usije ukawa wa majimaji bure
hahahaaaaaa nasikia pogba bado anashangilia goli lakeManchester United.........
Sio mbaya wakati tunakosa huduma yake si tutanufaika kwakuwa wenger itamlazimu aanze kutengeneza combination ya cazola na xhaka ili ata akiamua kumtumia mmoja kati yao wawe wamezoeanatutakosa huduma ya coqlien 2 weeks
Hatutaki hata mmoja awe majeruhi, tunataka AW apate headache ya kuchagua kikosi bora kila mechi. Ukisema ni bora Le Coq awe majeruhi unakosea sana. We need all players fit kila mechi kiongozi.Sio mbaya wakati tunakosa huduma yake si tutanufaika kwakuwa wenger itamlazimu aanze kutengeneza combination ya cazola na xhaka ili ata akiamua kumtumia mmoja kati yao wawe wamezoeana
Umeelewa vibaya mkuu, me sijasema nimefurahi coq kuumia lahasha, nawewe unaweza kuwa mmoja wa wale tuliokuwa tunahitaji kumuona xhaka akianza, ila mzee akawa anasema ye anajali combination ya cazola na coq kwakuwa wamezoeana so xhaka ni lazima aanzie benchi, so maana yangu iko hivi, kwakuwa coq kaumia pia hii ni nafasi kwa wenger kutengeneza chemistry ingine kati ya cazola na xhaka ili awe na uwezo wa kuwapanga kulingana na aina ya game ilihali cazola anaweza kucheza na yoyote ambae atapangwaHatutaki hata mmoja awe majeruhi, tunataka AW apate headache ya kuchagua kikosi bora kila mechi. Ukisema ni bora Le Coq awe majeruhi unakosea sana. We need all players fit kila mechi kiongozi.