Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sancheeeeeeez


Dakika ya 12 Alexis Sanchez anafunga goli la kwanza kwa Arsenal baada ya kumzidi kete mlinzi wa timu ya taifa ya Uingereza Gary Cahill

109477181_sanchez_celebrates-large_trans++VeV8OoZxp1WMt6i1E9eewFx0f80MSxMztQ8v5mixa_8.jpg

Alexis Sanchez akishangilia goli la kwanza alilofunga.
 
109479134_walcott_celebrtaion-large_trans++qVzuuqpFlyLIwiB6NTmJwW8qmGX5X8r5RyJwIOaaiCw.jpg

Walcoooooottt

Easy finish kutoka kwa Walcott baada ya Hector Ballerin kupanda na kutoa pasi ya uhakika.

Mpira ilianzia kwa Ozil ambae alimtengenezea Alex Iwobi nae akamwona bellerin akipanda upande wa kulia wa Chelsea na akamwekea mezani Walcott ambae amenikumbusha Robert Pires.

Goli limefungwa dakika ya 14
 
Dakika inakwenda ya 26 Arsenal 2 Chelsea 0

Chelsea wameanza kushambulia lakini bado Arenal wanataka kufunga zaidi.
 
Gary Cahill anamwangusha Alex Iwobi nje ya duara ni mpira wa adhabu unapigwa.

Francis Coquelin ameumia lakini anashindwa kuendelea na game.

Granit Xhaka anaingia.

Balantanda, Xhaka huyo kaingia.
 
Back
Top Bottom