Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea wanaamini wanaweza kufanya ya kule King Power katikati ya wiki waliporudisha goli mbili na kuongeza mawili dhidi ya Leicester.
 
26ab45dd-5340-4593-bf0c-31283e00b966.jpg

Oziiiiiiiiil

Dakika ya 40 Arsenal 3 Chelsea 0

We are loving it.

Mkuu BAK, kula 5

We are looking for a revenge.
 
2585d153-74de-4a11-b81b-935b5ac4b226.jpg

Arsenal wamecheza mchezo wao wa kawaida na it paid off.

Chelsea wamecheza kupakia basi na kutaka kumtumia Diego Costa kufanya counter attacks.

Tusubiri kipindi cha pili je Chelsea watatoka eneo lao? Maana wamefungwa kwa kutumia mchezo wa kujihami.

Wakitoka sana ni karamu ya magoli kwa Arsenal.

Mkuu, Herrera upo?
 
VITIMU TUTAKAVYO KUTANA NAVYO OCTOBER VYA kijinga TUTATELEZA MPAKA TUTAONGOZA LIGI
 
Back
Top Bottom