Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

521a7e86aa46a67b75e9592c961dbe2f.jpg

Kitu pekee kimeifanya game ya leo nikenue ni lile tusi alilotukana Xhaka almaarufu Pweza wa £ 35M nasubiri muuza jezi ajaribu na yeye.
 
sanchez.jpg

Alex Sanchez akishangilia goli alilofunga kati ya mawili.

Kwa mara ingine tena, Mesut Ozil ndiye aliekuwa akivuta kamba zote na kuwarahisishia kazi Alexis Sanchez na Alex Iwobi.

livermore.jpg

Mwamuzi Roger East akimwonyesha kadi nyekundu beki wa Hull City Jake Livermore baada ya kuunawa mpira ndani ya eno la 18.

gettyimages-607248788.jpg

Granit Xhaka nae akifurahia goli alilofunga na mshambuliaji Lucas Perez.

Kitu kingine nilichoona leo Wenger hakuanza na Perez kule mbele bali aliamua kuanza na Theo Walcott ambae alileta matatizo kwa ngome ya Hull hadi alipotolewa Livermore, ila kwa ujumla kikosi kilikuwa safi khasa katikati ambapo Coquelin, Cazorla na Xhaka walitawala.
 
Hizi taarifa peleka kwenye jukwaa lenu......si kila mtu ana jukwaa lake
 
Hahaaaa yani imebidi nianze kucheka mwenyewe. Dah kumbe nimechanganya jukwaa......

Nisameheni wote.......
 
Back
Top Bottom