Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahaaaa yani imebidi nianze kucheka mwenyewe. Dah kumbe nimechanganya jukwaa......

Nisameheni wote.......

Pole sana kwa msiba ila vumilia kila nyumba lazima itoe maiti ila naona marehemu umesusiwa umzike pekee ako yule Everlenk kaingia mapangoni jikaze wiki ijayo lazima ufiwe tena.
 
Hahaaaa yani imebidi nianze kucheka mwenyewe. Dah kumbe nimechanganya jukwaa......

Nisameheni wote.......

Karibu sana, hapa pana wapenzi wa gunners wakiongozwa na generali McDonald Jr

Unamkumbuka generali Juma Mkambi weye?

😀
 
Sema kama mzee ataendelea na ka mchezo hako ka kuridhika na mpila wake wa slow mo tutakimbiana humu
 
Pole sana kwa msiba ila vumilia kila nyumba lazima itoe maiti ila naona marehemu umesusiwa umzike pekee ako yule Everlenk kaingia mapangoni jikaze wiki ijayo lazima ufiwe tena.
Asante bwana......@Everlenk sijui kabanwa na nini.
 
1474263655160.jpg
 
Mbona wale jamaa wa mtaa wa 7 hawatucheki kwa kurudi nafasi yetu ya 4?Au ni kwa vile tumecheza games 5 ?
 
Back
Top Bottom