Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1 point inatosha sana kwa game ya ugenini.

Safi sana vijana.

COYGs!!!
 
Giroud for


Link yako imezimika muda mzuri wakati mpira umeisha mmeshinda {Point 1}

Giroud ana gundu na washabiki wa Arsenal, auzwe tuu aje Andy Carroll

Wapenzi wa Arsenal hata akija Messi watamchukia akishindwa kupoteza nafasi 2, 3 na wakishamsikiliza Piers Morgan
 
Giroud sio mbovu tatizo Wenger hajawahi kusajili striker mfungaji kuliko Giroud ili ampe presha.Walcott,Wellbeck,Perez, Campbell hakuna anayemzidi Giroud
Giroud ni mbovu mkuu... Haihitaj macho mawili kutazama kugundua hilo ..
 
Giroud ni mbovu mkuu... Haihitaj macho mawili kutazama kugundua hilo ..

Inategemea unamlinganisha na nani?


Anapaswa kuwa second striker first striker anapaswa kuwa bora zaidi yake. Since RVP ameondoka Wenger hajaweza kupata first striker
 
On to the next challenge at Hull City jumamosi. Baada ya kuangalia nani atafungwa Ijumaa. Come on Loserpool...
 
PSG 1 Arsenal 1

Leo Arsenal kwa mara ya kwanza imefanya jambo la maana sana kupata point 1 ugenini na itakuja kutusaidia sana.

Olivier Giroud nae alipoingia kipindi cha pili hakuweza kuvumilia visa vya verratti na wote wakatolewa kwa kadi nyekundu baada ya mwanzo kuonyeshwa kadi za njano.


Olivier Giroud alipewa kadi nyekundu mbele ya meneja Arsene Wenger.
 
red card ya giroud..haina madhara yyte kweny team..bcz hatusaidii chochote inshort hana impact yyte kweny team
 
Aliyekuwa anasema Borussia Monchenburg ni timu kali nani?
 
Always naamini Nacho Monreal ni tatizo mno kwenye beki ya Arsenal angalieni magoli yote yanatoka upande wake
Hakuwa na support toka kwa left wing, siku hizi beki tatu anasaidiwa kiulinzi na winga wa kushoto. Oxlade hakuwa anarudi nyuma kumsaidia ulinzi. Hata pundits wengi huko ulaya wamelisemea hilo. Huwezi kumlaumu Nacho kwa yale magoli. Hata hivyo, kama ukiangalia alisaidia sana tusifungwe kipindi cha pili.
 

Monreal anaweza kukimbiza na kuingia na mipila katika goli la adui na kushuka kudefence japo si sana yani anaweza kutengeneza mashambulizi na kushuka fasta kudefence kitu ambacho ata hector amekifanya sana kwa upande wake so kama mnafikilia mbadala wake gibbs mmepotoka mtaishia kumuangalia anawekwa first eleven mpaka mwisho sababu anafanya alichofundishwa na kina mantik kubwa sana katika mipango ya wenger gibbs anamapungufu mengi sana japo faida zake ni chache gibbs ni mgumu sana kupanda na kushuka aizldha atashindwa kupanda au atapanda na kuchelewa kushuka so monreal ana x factor over gibbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…