Wenger musica fc....hongera kwa usajili wa Takuma....hivi yuko wapi hivi sasa?Jieshimu wewe mpira wako wa makaratasi ndo uje kwenye jukwaa letu uku si uanzishe wako
Ipo Malinzi amefanya watu wameacha kufuatilia habari za Taifa StarsHakuna thread ya Taifa stars? Wanacheza na Nigeria hivi sasa.
Huyu mtu sijui vipi aisee. Mtu huna aibu utakuwaje mkuu wa TFF na Mkoa wa Kagera at the same time? Conflict of interest ipo wazi. Wanaowa-vote in hawa vichwa ni kina nani at the fist place?Ipo Malinzi amefanya watu wameacha kufuatilia habari za Taifa Stars
rubaman ebu kuwa na staha kidogo. Kweli unatuletea habari za ndondo humu...Huyu mtu sijui vipi aisee. Mtu huna aibu utakuwaje mkuu wa TFF na Mkoa wa Kagera at the same time? Conflict of interest ipo wazi. Wanaowa-vote in hawa vichwa ni kina nani at the fist place?
rubaman ebu kuwa na staha kidogo. Kweli unatuletea habari za ndondo humu...
Nilimaanisha Chama cha mpira mkoa wa Kagera.. samahaniHuyu mtu sijui vipi aisee. Mtu huna aibu utakuwaje mkuu wa TFF na Mkoa wa Kagera at the same time? Conflict of interest ipo wazi. Wanaowa-vote in hawa vichwa ni kina nani at the fist place?
Ulimuona Pat Tice akicheza hiyo mechi ya legends?Daaah maisha mazuri Sana. Pat Rice alistaafu kufundisha kwasababu anaumwa Moyo, ajabu amepona lini hadi acheze mpira?
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Umu ndani patakua patamu babu akianza kufanya vizuri au tukifanikiwa walau hatua kubwa tofauti na tulivyozoea
Tembea uone lililo na impact kwako ni hilo tutikutolea ya uvunguni mwa kitanda chako hutarudi tena hapaView attachment 394675 hizi ndio hatua za Arsenal makombe yashawashinda