PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hebu funguka mkuu wala usisite hata zidane alifunguka alipochukia[emoji1] [emoji1] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Tembea uone lililo na impact kwako ni hilo tutikutolea ya uvunguni mwa kitanda chako hutarudi tena hapa
Zinedine Zidane hatimaye amezungumzia kwanini alimpiga Materazzi kichwa katika fainali ya kombe la dunia 2006. "Aliniita fala,nikampuuzia. Akamwita baba yangu gaidi,nikampuuzia. Sasa hasira zikanipanda pale aliposema ninafaa kuichezea ARSENAL. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]