Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger akiambiwa kuna striker kafunga magoli 20 katika ligi ya Cyprus anauzwa kwa £5M atatoka Vacation sasa hivi. Cheap bustard!

Ivi how much did AW splash this time?
8ae7774f5cacef4961c657ab3bdac797.jpg
 
Perez na Mustafi wathibitishwa namba za jezi watakazovaa- Perez namba 9 Mustafi namba 20

641093.png

Luca Perez Martinez anachukua namba 9 iliyokuwa iktumiwa na Lucas Podolski.

641094.png

Shkodran Mustafi atatumia namba 20 ambayo mara ya mwisho ilitumiwa na Mathieu Flamini. Phillipe Senderos na Johan Djourou pia waliwahi kutumia namba hiyo.

COYGs!!!
 
Perez has been given jersey number 9. Do you know what that mean? Number 9 is a "cursed" jersey at Arsenal lol. Nobody has ever made it big wearing this number at Arsenal. Since Anelka left every player that wore number 9 has been either poor or not doing anything of note and ended up sold in a few season. Giroud knew this and turned down the chance of getting the jersey.
 
Duh kwa maana hiyo hata tukimsajili Messi tukimpa jersey namba 9 kwisha habari yake..?
 
Perez has been given jersey number 9. Do you know what that mean? Number 9 is a "cursed" jersey at Arsenal lol. Nobody has ever made it big wearing this number at Arsenal. Since Anelka left every player that wore number 9 has been either poor or not doing anything of note and ended up sold in a few season. Giroud knew this and turned down the chance of getting the jersey.

Many forwards seems to run away from it, also the likes of Francis Jeffers, José Antonio Reyes, Júlio Baptista and Park Chu-Young all used to wear the jersey.

It could be another Nikolas Anelka in waiting.
 
Look what happened to them? All were did close to nothing. Unadhani ni kwa nini kina Henry waling'ang'ania jersey zao? Giroud pamoja na kutokuwa appreciated aliikwepa pia.( Arsenal's No. 9 and other vacant numbers - Football365). Considering Perez ni 27 years old na poor goals scoring record maybe has nothing to lose, anaweza kubadilisha. Good luck to him.
 
Kifahamu kikosi kizima cha wachezaji wa Arsenal na namba zao.

2. Mathieu Debuchy, 3. Kieran Gibbs, 4. Per Mertesacker, 5. Gabriel, 6. Laurent Koscielny, 7. Alexis Sanchez, 8. Aaron Ramsey, 9. Lucas Perez, 11. Mesut Ozil, 12. Olivier Giroud, 13. David Ospina, 14. Theo Walcott, 15. Alex Oxlade-Chamberlain, 16. Rob Holding, 17. Alex Iwobi, 18. Nacho Monreal, 19. Santi Cazorla, 20. Shkodran Mustafi, 22. Yaya Sanogo, 23. Danny Welbeck, 24. Hector Bellerin, 25. Carl Jenkinson, 26. Emiliano Martinez, 29. Granit Xhaka, 31. Jeff Reine-Adelaide, 32. Chuba Akpom, 33. Petr Cech, 34. Francis Coquelin, 35. Mohamed Elneny
 
Nilidhani Perez angepewa jezi iliyoachwa na Gnabry (27). Maybe wamempa namba inayosadikika "cursed" (joke) kimakusudi. Unaweza kukuta tusiyemwamini ndiye atakayetutoa kimasomaso.
 
Five facts:

1. Arsene Wenger ampata wachezaji wa kuziba mapengo yote yaliyohitaji wachezaji- Defence, Midfield and Attack.

2. Arsene Wenger safari hii ametumia pesa nyingi kufanya usajili wa maana ingawa bado watu wana wasiwasi na Lucas Perez.

3. Arsene Wenger amemsajili Schkdran Mustafi ambae mwanzoni ilionekana kama atashindwa.

4. Safari hii Arsenal haijapoteza mchezaji yoyote yule muhimu kama misimu mingine muhimu ambapo wachezaji kama Robin Van Persie na Samir Nasri, Gael Clichy na Cesc Fabregas waliomba uhamisho.

5. Granit Xhaka huenda akaja kuwa mchezaji wa mwaka wa Arsenal baada ya Patrick Vieira. Xhaka amechukua nafasi ya Francis Coquelin ambae sasa inabidi awe mchezaji wa akiba. Xhaka ananikumbusha Xabi Alonso enzi zake akiwa Liverpool au Genaro Gatusso ambao hawakuwa na masihara kwenye idara ya kiungo mlinzi ambae hucheza mbele ya safu ya ulinzi na nyuma ya kiungo wa kati namba 8
 
Hongera nyingi ziwaendee mashabiki wenye akili wa Arsenal waliompigia kelele huyu babu misimamo Arsene,,hadi akachangamka akili.Sasa hivi nimeona mchango wa pressure za mashabiki wengi waliochoshwa umezaa matunda.Sasa tunaweza kuangalia mechi za timu yetu.
 
Look what happened to them? All were did close to nothing. Unadhani ni kwa nini kina Henry waling'ang'ania jersey zao? Giroud pamoja na kutokuwa appreciated aliikwepa pia.( Arsenal's No. 9 and other vacant numbers - Football365). Considering Perez ni 27 years old na poor goals scoring record maybe has nothing to lose, anaweza kubadilisha. Good luck to him.
Mkuu hii jezi haina course yoyote zaidi ni kwamba pengo la anelka halikuzibika,,mtu kama chamack,adeboya,bendtner,costa na vilaza wengine Huwezi kuwapa jezi namba 9 wakaitendea haki.
 
Five facts:

1. Arsene Wenger ampata wachezaji wa kuziba mapengo yote yaliyohitaji wachezaji- Defence, Midfield and Attack.

2. Arsene Wenger safari hii ametumia pesa nyingi kufanya usajili wa maana ingawa bado watu wana wasiwasi na Lucas Perez.

3. Arsene Wenger amemsajili Schkdran Mustafi ambae mwanzoni ilionekana kama atashindwa.

4. Safari hii Arsenal haijapoteza mchezaji yoyote yule muhimu kama misimu mingine muhimu ambapo wachezaji kama Robin Van Persie na Samir Nasri, Gael Clichy na Cesc Fabregas waliomba uhamisho.

5. Granit Xhaka huenda akaja kuwa mchezaji wa mwaka wa Arsenal baada ya Patrick Vieira. Xhaka amechukua nafasi ya Francis Coquelin ambae sasa inabidi awe mchezaji wa akiba. Xhaka ananikumbusha Xabi Alonso enzi zake akiwa Liverpool au Genaro Gatusso ambao hawakuwa na masihara kwenye idara ya kiungo mlinzi ambae hucheza mbele ya safu ya ulinzi na nyuma ya kiungo wa kati namba 8

Naweza kuiweka hii post katika maktaba ili niitembelee January- May au msimu ujao? Baadhi ya wapenzi wa Arsenal mnabadilika very upesi wa ghafla. Sitashangaa ukija kumlaumu Wenger kwa kutomwaga pesa kama managers wengine pindi mambo yakienda tusipopenda.
 
lol

Kama hufahamu mimi ni mmoja wa wafuasi wa sera za uchumi za Arsene Wenger na kila afanyalo kuhusu matumizi ya pesa linakuwa spot on.

Ila pressure ya safari hii imepikwa tu, Wenger alikuwa na mipango ya kusajili wachezaji watatu tangu mwaka jana.
 
Back
Top Bottom