Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

aseno bana raha sana walimtandika man city walifurahi na zile 8 za viking hahahahahaahha
 
Nipo sana ila hali yetu sio njema kabisa

pole sana mkuu lazima wenger atie wachezaji wa 3 bek wawili na mshambuliaji bado timu ni nzur na ipo kwenye mashindano mengi haikuwa na wachezaji wa kikos cha kwanza kama wa nne mana majuruh hayakwepek yafaa lazima wawepo watu wa shoka nje.
 
Msimu huu tutatobo kweli kwenye big four?
Jana nliona km beki yetu haiko imara sana
Kos6 umri umekimbia sana na aendako season hii akicheza game 25 basi ni bonasi kwetu. Hii team bodi na babu wanaiua kwa kutunza pesa bank. Hakuna sababu ya kujiuliza kwenye kuwekeza "invest back to the team" ili kujenga uhakika wa return bora kabisa. Drid and Barca are the richest club in the world bado wanatumia pesa kuwekeza kwenye team ili kuendelea kuwa pale juu. Hawapo juu kwa bahati mbaya au ndoto.

Babu na Body waache kuishi kwenye ujima. Ajax iliyochukua CL kwa youth project haiwezi kutokea tena dunia hii. Watu wanakuja kuvuna matunda kabla hayajakomaa wanaenda kuyavundika kwao. Lion iliyochukua ubingwa wa ufaransa mara 6 mfululizo kwa youth project haiwezi kutokea tena. Watu wanaangalia hapo hapo kwa wabishi wanaowekeza kwa vijana wanalipa mpunga wa maana na kuchukua kipaji kabla hujakifaidi.

Hata Leicester waliochukua ubingwa kwa uwekezaji wa kawaida wameona hawawezi kuishi kwenye dunia ya ushindani bila kuwekeza, wamenunua wachezaji tena kwa bei ya soko linavyotaka. Sio babu na bodi wanawaza pesa ni nyingi bora zikae bank tuvune riba.

Kifupi #WengerOut #SilentstanOut
Ili kuinusuru team pendwa kabla hatuazama na kuwa midtable team.
 
Arsenal imedumaa na haikui. Its like Messi wakati akiwa mdogo Barca walimnusuru. Arsenal inahitaji Barcelona kuinusuru ili walau ikue, na huyu Barcelona basi walau au wa mafuta au Wachimba chuma wa Russia.

Babu AW ni tatizo lkn kumwona yeye kama ni tatizo pekee basi tunakosea, nyuma yake kuna Bodi na bodi inaweka malengo yake ya mwaka, na yanatakiwa kufikiwa, sasa wasiwasi wangu ni kuwa Bodi inaeeka malengo yake ya mwaka na ya muda mrefu ambayo babu anayatimiza. Sasa hapo ndo panapoibua maswali bodi malengo yake ni yepi? Pengine wanaseti malengo finyu sana na ambayo anayafikia. Na kwa hali ilivyo sasa hakuna mtu hapendi ajira isiyo na presha, AW kwa sasa hana presha na kibarua chake kabisa. Anajua mwisho wa siku anatimiza malengo ya mwajiri wake na pengine kuyavuka kabisa.

Mmiliki wa team ana matatizo na tatizo kubwa kwake ni kukosa kuufahamu mpira wa miguu ambako amewekeza pesa yake. Kama mwisho wa mwaka sehemu yake ya faida inaingia na hakuna tatizo na hajui juu ya furaha ya mashabiki na ushindi.

Silent Stan has to go aiache team, chini yake toka ameichukua team haijasogea mbele zaidi ya kumlipa gawio toka kwenye uwekezaji mdogo sana anaoufanya.

Why Money on the bank. Kama viingilio vya wanaotaka kuiona team yao inapata mafanikio kwa kunyakua mataji bado viko juu, kwa nn pesa hiyo isiwekezwe kwa kununua wachezaji?
Nimeipenda analysis yako, huwezi kumlaumu Wenger ukaiacha Board na Major Shareholer(Stan Kroenke). Board ndio inaendesha team, coach anafuata tu long na short term plans za club. Ndio maana huwa nashindwa kuelewa, kwa nini mashabiki tunaona Wenger ana final say kwenye club? Kwa nini board isiwe na final say, kama ni hivyo kutakuwa na shida kubwa kwenye management ya arsenal.

Namheshimu Wenger, he did so much for the club ila sasa apumzike tu, hana ushawishi hata wa kumnunua Vardy, basi ujue club is on the decline.
 
yaani with dogmatic principles of aw, tusitegemee kombe akiwepo kama in charge. just imagine why did he leave ozil, koscielny out? mbona wengine wanacheza waliokuwa euro?
 
Kos6 umri umekimbia sana na aendako season hii akicheza game 25 basi ni bonasi kwetu. Hii team bodi na babu wanaiua kwa kutunza pesa bank. Hakuna sababu ya kujiuliza kwenye kuwekeza "invest back to the team" ili kujenga uhakika wa return bora kabisa. Drid and Barca are the richest club in the world bado wanatumia pesa kuwekeza kwenye team ili kuendelea kuwa pale juu. Hawapo juu kwa bahati mbaya au ndoto.

Babu na Body waache kuishi kwenye ujima. Ajax iliyochukua CL kwa youth project haiwezi kutokea tena dunia hii. Watu wanakuja kuvuna matunda kabla hayajakomaa wanaenda kuyavundika kwao. Lion iliyochukua ubingwa wa ufaransa mara 6 mfululizo kwa youth project haiwezi kutokea tena. Watu wanaangalia hapo hapo kwa wabishi wanaowekeza kwa vijana wanalipa mpunga wa maana na kuchukua kipaji kabla hujakifaidi.

Hata Leicester waliochukua ubingwa kwa uwekezaji wa kawaida wameona hawawezi kuishi kwenye dunia ya ushindani bila kuwekeza, wamenunua wachezaji tena kwa bei ya soko linavyotaka. Sio babu na bodi wanawaza pesa ni nyingi bora zikae bank tuvune riba.

Kifupi #WengerOut #SilentstanOut
Ili kuinusuru team pendwa kabla hatuazama na kuwa midtable team.
Hata tukisema Wenger out cc km mashabiki haiwafanyi wale wajinga wamtoe yule babu, tuendelee kusubiri muujiza tu
 
Nimeipenda analysis yako, huwezi kumlaumu Wenger ukaiacha Board na Major Shareholer(Stan Kroenke). Board ndio inaendesha team, coach anafuata tu long na short term plans za club. Ndio maana huwa nashindwa kuelewa, kwa nini mashabiki tunaona Wenger ana final say kwenye club? Kwa nini board isiwe na final say, kama ni hivyo kutakuwa na shida kubwa kwenye management ya arsenal.

Namheshimu Wenger, he did so much for the club ila sasa apumzike tu, hana ushawishi hata wa kumnunua Vardy, basi ujue club is on the decline.

Kos6 umri umekimbia sana na aendako season hii akicheza game 25 basi ni bonasi kwetu. Hii team bodi na babu wanaiua kwa kutunza pesa bank. Hakuna sababu ya kujiuliza kwenye kuwekeza "invest back to the team" ili kujenga uhakika wa return bora kabisa. Drid and Barca are the richest club in the world bado wanatumia pesa kuwekeza kwenye team ili kuendelea kuwa pale juu. Hawapo juu kwa bahati mbaya au ndoto.

Babu na Body waache kuishi kwenye ujima. Ajax iliyochukua CL kwa youth project haiwezi kutokea tena dunia hii. Watu wanakuja kuvuna matunda kabla hayajakomaa wanaenda kuyavundika kwao. Lion iliyochukua ubingwa wa ufaransa mara 6 mfululizo kwa youth project haiwezi kutokea tena. Watu wanaangalia hapo hapo kwa wabishi wanaowekeza kwa vijana wanalipa mpunga wa maana na kuchukua kipaji kabla hujakifaidi.

Hata Leicester waliochukua ubingwa kwa uwekezaji wa kawaida wameona hawawezi kuishi kwenye dunia ya ushindani bila kuwekeza, wamenunua wachezaji tena kwa bei ya soko linavyotaka. Sio babu na bodi wanawaza pesa ni nyingi bora zikae bank tuvune riba.

Kifupi #WengerOut #SilentstanOut
Ili kuinusuru team pendwa kabla hatuazama na kuwa midtable team.

Nadhani tatzo lingine lipo hapo, kroenke ni mjasiliamali ambae ni multiple owner anamiliki timu za mpira si chini ya tatu ( anatimu canada, marekan MLS, na England) bado anatimu NHL lakini ukiangalia timu zake za mpira wa miguu anazomiliki zote zina matatzo kama ya arsenal, zinashindwa kulipa vizuri wachezaji + hata usajili wao ni wakuokoteza tu, alikofanya massive investment ni kwenye timu yake ya colorado avalanche inayoshiriki NHL sababu kubwa ni kwamba ndio mchezo anaoupenda kuliko football.

Mnaweza mkawa mnamlaumu sana Mr bean lakini jaribuni pia kuangalia nyuma ya pazia, kwann timu zinazomilikiwa na huyo mmiliki wenu zina matatzo yanayofanana?
 
Babuuuuuu.... Wenger " i mean, we scored 3 goals against a competetive team like Liverpool, it just shows the class we already possess in our front line, so i think, with the centre backs coming back from injury we should be able to compete"...
 
Ngoja tuendelee kusubiri warudi. Ila ligi ukianza vibaya match 10 za kwanza wewe sahahu kuwa champ.
 
Babuuuuuu.... Wenger " i mean, we scored 3 goals against a competetive team like Liverpool, it just shows the class we already possess in our front line, so i think, with the centre backs coming back from injury we should be able to compete"...
Hahahaaa hapa msahau kuhusu mshambuliaji
 
IMG-20160815-WA0006.jpg

Wenger hamsikii shabiki hapo nyuma.
 
Nimeipenda analysis yako, huwezi kumlaumu Wenger ukaiacha Board na Major Shareholer(Stan Kroenke). Board ndio inaendesha team, coach anafuata tu long na short term plans za club. Ndio maana huwa nashindwa kuelewa, kwa nini mashabiki tunaona Wenger ana final say kwenye club? Kwa nini board isiwe na final say, kama ni hivyo kutakuwa na shida kubwa kwenye management ya arsenal.

Namheshimu Wenger, he did so much for the club ila sasa apumzike tu, hana ushawishi hata wa kumnunua Vardy, basi ujue club is on the decline.

Kwa hiyo unamaanisha bodi imegoma kumpa Wenger fedha ya kusajili ?

Ni mara ngapi Wenger anasema fedha ipo ya kutosha lakini wachezaji anaowataka hawapo sokoni

Ashley Williams CB mwenye uzoefu na Premier league alikuwa available kwa £9m sidhani kama angemtaka angeshindwa kumpata,Everton wamempata kwa bei rahisi na angekuwa msaada sana

Tatizo kubwa la Arsenal ni kutokuwa na wachezaji wapiganaji,miaka karibia 7 Wenger anasajili wachezaji wanaofanana (Cesc,Nasri,Hleb,Chambers,Rosicky,Arteta,Walcott,OX,Wellbeck,Ozil,Sanchez,Cazorla,JW,Ramsey) Unakumbuka wachezaji wapiganaji kama Vieira,Toure,Keown,Cole,Gallas,Gilberto Silva
 
9ac91cba-ee88-4ce6-83a5-5e8a4538c66b_800.png

Very disappointed.

Lakini nilisema nani uwanjani alitakiwa kuchungwa na Philippe Coutinho.

Mabeki vijana kabisa wa Arsenal wasingeweza kufanya kazi hiyo jana.

Tuangalie mechi ijayo na Leicester kule King Power Stadium.

Arsene Wenger sasa hivi anakabiliwa na upinzani wa hali ya juu kutoka kila kona kwa sababu ya rekodi yake na miaka 20 aliyokaa Arsenal FC.

Anatakiwa asome alama za nyakati kwa umakini mkubwa.

Rob Holding na Calum Chambers wataitosa Arsenal kwenye mechi karibu tano zijazo.
 
Hata tukisema Wenger out cc km mashabiki haiwafanyi wale wajinga wamtoe yule babu, tuendelee kusubiri muujiza tu

Wajinga kina nani? Wale wamiliki na bodi, kumbuka wana hela wale, sisi huku bongo hata record ya jezi wanazouza hakuna! we baki shabiki tu kama huwezi wacha, maana hata usipowashabikia haupunguzi kitu. Wao wako asia zaidi. wacha nao hao. Komaa na ya hapa nyumbani kama ni simba au yanga, maan kuna inayokodishwa saaabash.
 
Back
Top Bottom