Shida ya babu hawezi kupigika kwa game zote 10 za mwanzo. Itakuwa kama mwanzo wa msimu ulioishaNafikiri ikiwa tunataka tija kwa njia ya psychological torturing ni bora tuendelee Kupigwa ata game kumi zijazo binafs ntafarijika sana tofauti na kushinda iwapo tutapata Ushindi hatutafika Mahala kokote Zee wenga litarizika Af ndio Itakua yaleyale
Poleni sana wenzangu Arsenali
So long as AW ni kocha Arsenal TUTAFELI TU
I also believe this season this old Fo.ol will leave our team
Mtani bado tu?Hii timu presha tupu
Hahahaaah mtani nahamia ligue 1 Ufaransa, huku naona mapichapicha tu.!Mtani bado tu?
Njoo OT mtani ya hapa kwetu tayari figisu figisu zimeanza yaani pasua kichwa.Hahahaaah mtani nahamia ligue 1 Ufaransa, huku naona mapichapicha tu.!
Burudaaaaaani....Naangalia hapa marudio ya mechi ya Arsenal na Liverpool. Hadi dk hii Arsenal anaongoza moja.
Sasa mfanye ujinga kama wa jana na mfungwe tena.
Siku aliyotoka na kusema wazi pesa toka 2012 ilikuwapo kustrengthen timu na he chose not to ambayo maneno kayasema April mwaka huuHatimaye umekubali niliyokuwa nayasema kuhusu Wenger
Next one ni ozil n then sanchezRVP was Right Then (4 years ago)
It is very difficult to Argue what he said and what is Actually happening At AFC right now
________________________
“This is an update for the fans about my current situation. I have kept quiet all this time out of respect and loyalty for the club and as agreed with Mr. Gazidis and Mr. Wenger, but since there is so much speculation in the media, I think it is fair for you guys to know what’s really going on at the moment.
“As announced earlier this year I had a meeting with the Boss and Mr. Gazidis after the season. This was a meeting about the club’s future strategy and their policy. Financial terms or a contract have not been discussed, since that is not my priority at all.
“I personally have had a great season but my goal has been to win trophies with the team and to bring the club back to its glory days.
“Out of my huge respect for Mr. Wenger, the players and the fans I don’t want to go into any details, but unfortunately in this meeting it has again become clear to me that we in many aspects disagree on the way Arsenal FC should move forward.
“I’ve thought long and hard about it, but I have decided not to extend my contract. You guys, the fans, have of course the right to disagree with my view and decision and I will always respect your opinions.
“I love the club and the fans, no matter what happens. I have grown up and became a man during my time with Arsenal FC. Everybody at the club and the fans have always supported me over the years and I have always given my all (and more) on and off the pitch.
“I am very proud of being part of this fantastic club for the last 8 years. As soon as Mr. Gazidis is back from his 2-week holiday in America further meetings will follow and I will update you if and when there are more developments.”
At least Arsenal wanaonekana top 4. Man Utd hatujui mlipo....Consistency
Top four =Ubingwa kwa ArsenalAt least Arsenal wanaonekana top 4. Man Utd hatujui mlipo....