Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsena Vs Liverpool

Sanchez-vs-Coutinho.jpg

Wakuu wa Gunners mpo?

Kesho mtanange wa nguvu.

Uwanja: Emirates

Na mwamuzi wa mchezo atakuwa kijana Michael Oliver ambae anatoka katika mkoa wa Northumberland ulioko kaskazini mashariki ya England.

Muda: 1600 BST 1800 EAT

Team news:

Arsenal

Majeruhi: Wilshere, Mertesacker, Welbeck, Gabriel, Jenkinson, Paulista

Wachezaji wanaohofiwa hali yao kimchezo: Ozil, Cazorla

Wachezaji waliofungiwa: Hakuna

Liverpool

Majeruhi: Sakho, Lucas, Sturridge, Karius, J. Gomez

Wachezaji wanaohofiwa hali yao kimchezo: Lovren, Milner, Grujic

Waliofungiwa: Hakuna

Vikosi vya wachezaji XI wa timu hizi vinacyotarajiwa kuingia uwanjani

Arsenal: Cech; Bellerin, Chambers, Holding, Monreal; Xhaka, Coquelin; Walcott, Ramsey, Oxlade-Chamberlain na Alexis Sanchez

Liverpool: Mignolet; Clyne, Lovren, Klavan, Moreno; Can, Wijnaldum, Henderson; Coutinho, Mane na Firmino.

Wachezaji wa kuangaliwa kwa makini wakishughulika kwa kila hali uwanjani ni Alexis Sanchez na Philippe Coutinho.

Alexis Sanchez atakuwa kama kawaida yake kujaribu mwenyewe kufunga magoli au kutafuta nafasi zilizo wazi ili kujiwekea mazingira ya kufunga magoli.

Coutinho atakuwa mbele akicheza mchezi unaoitwa " Press high" akimshughulisha Granit Xhaka na pia kupanga mashambulizi ya kushtukiza.

Tukutane kesho jjioni hapa hapa jukwaani kuburudika na dondoo kutoka uwanjani Emirates.
 
Leo tutakimbiana umu kwa beki hii? Nawaaga ndugu zangu
Acha woga. Liva pia wako wazi nyuma. Itategemea nani anaweza kuitumia nafasi ya mapungufu ya mwenzie mapema na vizuri. Pia sisi tunafaida ya kuwa na viungo mahiri wa kuilinda backline yetu. Wao wako vyema upande wa ukimbizaji mwenge tu ambako hata sisi sio haba kabisa. Kwahivyo hawawezi kukimbizana tu wakati wako wazi nyuma watahitaji kucheza kama team na kupanda kwa uangalifu kuepusha kuikata team.
 
Leo ndiyo tunaanza rasmi pilika pilika za miezi tisa kuwania nafasi ya sita katika EPL. Nasema nafasi ya sita kwa sababu sijaridhishwa na usajili wetu hivyo hata kutetea ile nafasi yetu (nafasi ya nne) ambayo tulishajimiliksha kwa miaka mingi sasa itakuwa ni mgogoro, lakini pamoja na hayo mimi si Ngongo eti nihamie MANU, MANC au Chelsea kufuata ushindi lol!. Haya kwa wapenzi wote wa soka AKA kambumbu, AKA kandanda AKA mpira wa miguu hapa jamvini enjoy 2016/2017 season.

everlenk upo? Niko hapa namtazama Ibrahim akianza kufanya vyake labda kuelekea ubingwa wa MANU 2016/2017.
 
Kama kweli unawaza nafasi ya sita wallah nenda Manyua au Chelshit hata Manishit watakufaa. Arsenal umepotea na huifahamu team yako hata kidogo.
Pamoja na kipindi kigumu team ilichopitia cha kulipa deni la kiwanja haijwahi kuwa nnje ya 4 bora, ingawa ulupaji wa deni la kiwanja imekuja kwa gharama ya kupishana na mataji. Lkn haina maana ufikie hatua ya kujishusha hadi nafasi ya sita. Naamini team yetu ni nzuri na ipo tayari kushindana na hao vimwaga wanaokutisha.
 
Acha kuwa pessimist kiongozi, miaka yote tunaanza na vikosi havina mbele wala nyuma, lakini ya sita hapana..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana banaa haya mambo ya kuhama hama mara timu hii mara timu ile kisa kufuata ushindi tu sinayo Mkuu. Mie na Arsenal ni damu damu. Sipendi kwa miaka chungu nzima sasa kushindwa kutwaa taji, lakini tatizo kubwa ni Babu Wenger.

Kama kweli unawaza nafasi ya sita wallah nenda Manyua au Chelshit hata Manishit watakufaa. Arsenal umepotea na huifahamu team yako hata kidogo.
Pamoja na kipindi kigumu team ilichopitia cha kulipa deni la kiwanja haijwahi kuwa nnje ya 4 bora, ingawa ulupaji wa deni la kiwanja imekuja kwa gharama ya kupishana na mataji. Lkn haina maana ufikie hatua ya kujishusha hadi nafasi ya sita. Naamini team yetu ni nzuri na ipo tayari kushindana na hao vimwaga wanaokutisha.
 
Hapana banaa haya mambo ya kuhama hama mara timu hii mara timu ile kisa kufuata ushindi tu sinayo Mkuu. Mie na Arsenal ni damu damu. Sipendi kwa miaka chungu nzima sasa kushindwa kutwaa taji, lakini tatizo kubwa ni Babu Wenger.
Kwa season 3 hizi lawama kweli ni za babu ambae ameamua kufungia pesa bank. Vinginevyo bodi nao wanafurahishwa maana gawio lao liko constant
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa season 3 hizi lawama kweli ni za babu ambae ameamua kufungia pesa bank. Vinginevyo bodi nao wanafurahishwa maana gawio lao liko constant
Usenge mtupu hii hakuna namna nikuumia tuu na kushushia na konyagi dry ili tuzidi kukonda
 
Kama kweli unawaza nafasi ya sita wallah nenda Manyua au Chelshit hata Manishit watakufaa. Arsenal umepotea na huifahamu team yako hata kidogo.
Pamoja na kipindi kigumu team ilichopitia cha kulipa deni la kiwanja haijwahi kuwa nnje ya 4 bora, ingawa ulupaji wa deni la kiwanja imekuja kwa gharama ya kupishana na mataji. Lkn haina maana ufikie hatua ya kujishusha hadi nafasi ya sita. Naamini team yetu ni nzuri na ipo tayari kushindana na hao vimwaga wanaokutisha.
Liverpool hata wao ni weupe wala msiogope.Still tutasajili tu baada ya mechi ya kwanza.
 
Back
Top Bottom