Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Things are bad for you guys, if you can't attract even a Leicester player...

Ha ha ha ha ha What the World have to become, even Man shit united have something to say about us being a bad. A team that have finished under top 4 after spending £200M in two season. Let's wait to see what Manchester United is going to attract ..
 
Kama kawaida yenu Utd mnatumika kama condoms kipindi hiki mawakala wajanja sana soon wakala wa Messi atasema mteja wake analilia kwenda Futuhi maana nikiorodhesha wanaolilia Utd ni noma
Ukiachana na ramos nitajie waliotutumia
 
Hahahaaaa come on meeeen

Agent confirms Henrikh Mkhitaryan wants to join Manchester United amid Arsenal interest

Dont forget Zlatan ibrahimovic is in our pocket
emoji1.png
Haven't you realized the only agent who's making a lot of noise is representing Ibrahimovic,M
Hahahaaaa come on meeeen

Agent confirms Henrikh Mkhitaryan wants to join Manchester United amid Arsenal interest

Dont forget Zlatan ibrahimovic is in our pocket

Haven't you realized that the only agent who's making a lot of noise represents Pogba , Ibrahimovic and Mkhitaryan ? Sell sell baby sell
 
Haven't you realized the only agent who's making a lot of noise is representing Ibrahimovic,M

Haven't you realized that the only agent who's making a lot of noise represents Pogba , Ibrahimovic and Mkhitaryan ? Sell sell baby sell
His clients are marketable (no doubts)

Pogba- midfielder maestro
Zlatan - goal machine
Mkhitaryan - flying winger
 
His clients are marketable (no doubts)

Pogba- midfielder maestro
Zlatan - goal machine
Mkhitaryan - flying winger
Kuna wachezaji wanabahati tu ya kuvumishwa. Sioni lolote jipya kwake ukimlinganisha hata na Kante Ngolo
 
Kuna wachezaji wanabahati tu ya kuvumishwa. Sioni lolote jipya kwake ukimlinganisha hata na Kante Ngolo
Ukiangalia kwenye euro na msimu huu pekee ni kweli kante yupo vizuri kuliko pogba, but pogba kaprove mwenyewe kwamba he is the best kwa misimu kadhaa sasa, Ila hela wanayoitaka juve ni kubwa mno aisee
 
Pogba alikuwa Bora misimu miwili aliyochaza na pirlo na Artulo Vidal baada ya Artulo kuondoka sijaona ubora wake. Sana sana la kubadilisha jezi toka ile ya awali na kuvaa ya Nguli Alsandro del Pielo #10. Hiyo ndo yofauti pekee niliyoiona kwa Pogba baada ya Kuondoka kwa Artulo
 
Haya wale wa Jamie Vardy LOL nilisema hapa siku msijiaminishe sana na tetesi mnazozisoma buahaaaaa.
 
Haya wale wa Jamie Vardy LOL nilisema hapa siku msijiaminishe sana na tetesi mnazozisoma buahaaaaa.

Inawezekana wewe ndio ulijiaminisha ila AW alisema mapema tu kua deal imebuma na Vardy anabaki Lei hili la leo ni hitimisho tu.
 
Usajili Updates:

Jamie Vardy ameamua kuendelea na mkataba wake na timu yake ya Leicester City.

Vardy amesaini mkataba wa miaka minne na timu yake hivyo unaogharimu pauni 100,000 kwa wiki.
 
Usajili Updates:

Jamie Vardy ameamua kuendelea na mkataba wake na timu yake ya Leicester City.

Vardy amesaini mkataba wa miaka minne na timu yake hivyo unaogharimu pauni 100,000 kwa wiki.
Me namwamini Chicharito kuliko Vardy, dogo anajua kuji-position na analijua goli, why not him???
 
Mchezaji wa bei poa. Eduardo Vargas

Enquiry mbili tayari imefanywa kwa Lazio ya Italy juu ya kijana Keita Balde.

bald_630x333.jpg

Huyu ni product ya Barcelona Academy na anaweza kuja kufaa.

Ni msenegal na ana umri wa miaka 21.

Enquiry ingine ni ya Mauro Ircadi wa Inter Milan zipo kama pauni milioni32 hivi mezani.

mauro-icardi.jpg

Nahodha wa Inter Milan Mauro Icardi

West Ham walikuwa wanamtaka huyu lakini wameamua kumsajili Michy Batshuayi wa Marseille.

Naona Liverpool wamekata kona kwa Wenger wamemuwahi na wameingia Southampton kwa Sadio Mane.

Pia nilimtaja kijana Vincent Janssen wa AZ Alkmaar nae Tottenham wameweka dau mezani.

Inabidi mzee Wenger achangamke safari hii watu hawalazi damu.
 
najua kwa akili yake vardy asingeweza kuliona tatizo lililokuwa mbele yake, naweza kusema amepata ushauri sahihi wa kumsaidia. mpira wanaocheza arsenal ni tofauti na pu-pu ya Leicester; angechemsha mapema
 
Enquiry mbili tayari imefanywa kwa Lazio ya Italy juu ya kijana Keita Balde.

bald_630x333.jpg

Huyu ni product ya Barcelona Academy na anaweza kuja kufaa.

Ni msenegal na ana umri wa miaka 21.

Enquiry ingine ni ya Mauro Ircadi wa Inter Milan zipo kama pauni milioni32 hivi mezani.

mauro-icardi.jpg

Nahodha wa Inter Milan Mauro Icardi

West Ham walikuwa wanamtaka huyu lakini wameamua kumsajili Michy Batshuayi wa Marseille.

Naona Liverpool wamekata kona kwa Wenger wamemuwahi na wameingia Southampton kwa Sadio Mane.

Pia nilimtaja kijana Vincent Janssen wa AZ Alkmaar nae Tottenham wameweka dau mezani.

Inabidi mzee Wenger achangamke safari hii watu hawalazi damu.
AZ alkmar wametoa statement ya kukataa offer mbili za spurs, anko wenger anatakiwa achangamkie hii fursa.
 
Back
Top Bottom