Kikosi cha Leicester kilichotwaa ubingwa kwa pamoja kimenunuliwa kwa thamani ya paundi milioni 57Transfer Updates: Arsenal wanabania paundi milioni 2!....
Arsenal tayari walikwishaweka mezani paundi milioni 33.1 au Euro milioni 43 kwa mchezaji huyo anaechezea klabu ya Borussia Monchengladbach ya Ujerumani.
Klabu hiyo imekwishasema inataka paundi milioni 35.3 ambazo kwa mara ingine tena Arsenal wameanza kubania.
....
COYGs! Wenger vunja benki!
Un stable-negro anataka Klopp aje kupigwa mizinga.
Kikosi cha Leicester kilichotwaa ubingwa kwa pamoja ni kimenunuliwa kwa thamani ya paundi milioni 57
Danny Simpson na Dany Drinkwater waliondoka Manchester United enzi za Sir Alex Ferguson LVG hajawakuta kabisa na Wes Morgan hajawahi kuchezea Manchester UnitedNi sawa kwasababu Ranieri hakutaka kufanya mabadiliko makubwa sana na akataka kukitengeneza kikosi alichokikuta.
Lakini Leicester wakikaa sana kwenye ligi wanaweza kuamua kusajili wachezaji wa gharama za juu.
Ila falsafa ya Ranieri na maskauti wake ni kutafuta wachezaji ambao ni "unkown" na kuwandeleza. Kila timu na meneja wana falsafa yao.
Unafahamu kwamba Leicester ina wachezaji watatu ambao walikuwa "rejected" na LVG pale Manchester Utd? Wachezaji hao ni Danny Simpsons ambae ni beki wa kulia, mchezaji wa kiungo Danny Drinkwater na beki mshahara Wes Morgan ambae ndie nahodha wao.
Lakini Claudio Ranieri amewatengeza wachezaji hawa rejects na thamani yao kwa sasa ni kubwa.
Leicester wana skauti wao mkuu anaitwa Steve Walsh na ndie aliewagundua Jamie Vardy, Riyadh Mahrez na N'golo Kante.
Steve Walsh ni mmoja wa "masters" katika eneo hilo.
Arsene Wenger alikwishamuangalia Riyadh Mahrez baada ya kupata taarifa za maskauti wake lakini akaona kwa wakati ule tayari alikuwa na attacking midfilders wa kutosha ambao ni Santi Cazorla na Aaron Ramsey.
Akitoka Wenger aje nani?
Danny Simpson na Dany Drinkwater waliondoka Manchester United enzi za Sir Alex Ferguson LVG hajawakuta kabisa na Wes Morgan hajawahi kuchezea Manchester United
Hawa wanaitwa "rejects" kwa sababu hawakuonekana na ubora wowote kwa Man Utd.
Ila nimemchanganya Wes Morgan yeye anatokea Notingham Forest.
Hata hivyo Leicester ina wachezaji 6 walotoka Man Utd namiongoni mwao ni Danny Simpson, Danny Drinkwater.
Umeongea kuwa ni LVG reject ,ndio nikakwambia hao waliondoka tangu enzi za Ferguson na hao reject wa United wako kwenye timu nyingi including kina Welbeck,Cleverley,Gibson,Oshea,Brown,Obertan,Fletcher na wengineo
Kuna posibility kubwa sana Jose anatua Man UnitedSawa mkuu tunasubiri Man Utd kali msimu ujao.
Kuna posibility kubwa sana Jose anatua Man United
hatari................When I'm having sex I always wear a Arsenal shirt so I don't finish first
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()