Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usajiri wa Suarez haukufanikiwa Liverpool walikataa kuuza.baada ya ku activate release clause ilitakiwa biashara ifanyike
What are we smoking. Ile ilikiwa dharau. Kwa kiwango cha Suarez ilitakiwa tuweke 45 au 50 kisha tuwaombe Liverpool kuongea nao. We unaweka 40 plus Senti moja kisha unataka deal itokee kwa sababu ume activate release clause. Ule ulikuwa ushuzi tunavuta na sio vinginevyo.
 
05f93cf7d47083f38cce423b50d5c4e7.jpg



0273cc017397c09d599320cafa053d9a.jpg
 
Kwa sasa Mzee aangalie mshambuliaji kijana wa kutusaidia kutafuta ubinhwa wa epl
 
Usajili Updates:

takuma-asano.jpg


Arsenal wamemsajili mshambuliaji Takuma Asano kutoka timu ya Sanfrecce Hiroshima ya Japan.

Ada halisi ya uhamisho haijasemwa kama ilivyo kawaida ya Arsenal ambao huwa hawataji kiwango cha usajili.

Uhamisho wa Takuma unategemea Zaidi masuala ya vipimo vya afya na kibalicha uhamiaji kutpka wizara ya mambo ya ndani ya Uingereza.

Takuma ana miaka 21 na mshambuliaji a timu ya taifa ya Japan ambayo alianza kuichezea tangu mwezi August mwaka jana.

Akimzunguzia mchezaji huyo meneja Arsene Wenger amesema Takuma amesaliwa kusadia washambuliaji waliopo na atajiunga moja kwa moja na mazoezi ya timu ya kwanza ambayo yanatarajiwa kuanza katikati ya mwezi huu wa Julai.

takuma-asano-a.jpg

Takuma anakuwa ni mchezaji wa tatu kutoka Japan kusajiliwa na Arsenal baada ya Junichi Inamoto na Ryo Miyaichi ambao hawakukaa sana na klabu hiyo.
 
huu sasa utani kutusajilia taKUMA sisi za nini ameambiwa tunashida nazo? zipo kibao mtaani uku bei chee uyu mzee uyu khaaaa
 
Daaaah hii aibu sana.
Nilianza kumrindimia Babu AW mwaka 2008 lakini sasa wacha nibwage manyanga.

Wacha aendelew kuwafurahisha matajiri na aendelww kutusahau Matajiri wa Kubwa Team na mwisho wao watakuja kuuona.
Tutagomea kuingia Kiwanjani, jezi zitabaki madukani na mwishowe watanyoosha miekono na wamfungashe virago Babu.

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Huyu janki atatusaidia sana Ana viashiria vingi sana vya kufanya vizuri let's wait and see karibu sana the jaguar
We utakuwa taahira kama wenger! Umeshaoma statistic zake au unaropoka tu? Chicharito kule anapatikana kwa bei ya bure unatutajia hapa ****..

Sasa **** ndo nini?
 
Back
Top Bottom