Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal are targeting Marco Reus, David Alaba, N'Golo Kanté, Aymeric Laporte & Aubameyang in a £250m splash.
(Source: Daily Star)
 
hivi mbona mnapoteza muda kupotosha ati arsenal target this player mara that player....ukweli ni kwamba most of the news from the mirror, the sun, daily star huwa ni agents ploys kupromote clients wao na mara nyingi huwa wanafankiwa kwa sababu arsenal is the centre of attention kwenye European football hata kesho ukisikia arsenal have made enquiries for a former TP Mazembe hitman Samatta basi nakuhakikishia hutachukua transfer windows 2 kumuona Samatta EPL, La Liga, Serie A au Bundes Liga....so herrera and Co msiwe vipalamagamba sana kushadadia ati Arsenal ni bidding/pointing club ati ila hawanunui
 
Mkuu hakuna mtu anaepotosha wala kupoteza muda labda wewe, hizi ni tetesi za usajili na km unajua maana ya tetesi basi wala kulikuwa hakuna haja ya kusema eti watu wanapotosha, ungesaidia endapo haya maneno ungewaambia wahusika kina bbc, sky sports, dairy mirror, dairy star na sio sisi

Si tunachofanya ni kupeana tetesi za usajili na tunajua kuwa % ya kuwa kweli ni ndogo kuliko % ya kuwa uongo so hakuna anaepotosha mtu wala kupotoshwa mkuu bali tuna enjoy. Mtazamo tu
 
Aisee, penye moto popote hapakosi mvuke na kila habari ilianza kama tetesi.

Kuna asiyejua kama vardy kawatemea mate?
 
Mkuu hakuna mtu anaepotosha wala kupoteza muda labda wewe, hizi ni tetesi za usajili na km unajua maana ya tetesi basi wala kulikuwa hakuna haja ya kusema eti watu wanapotosha, ungesaidia endapo haya maneno ungewaambia wahusika kina bbc, sky sports, dairy mirror, dairy star na sio sisi

Si tunachofanya ni kupeana tetesi za usajili na tunajua kuwa % ya kuwa kweli ni ndogo kuliko % ya kuwa uongo so hakuna anaepotosha mtu wala kupotoshwa mkuu bali tuna enjoy. Mtazamo tu
Kishapaniki huyo mkuu, maana anajua anko wenger baada ya kumsajili xhaka ndio kishafunga dirisha la usajili kwake.
 
Hatuhitaji mchezaji asiyetaka changa moto mpya.kuna transfer nyingi za wachezaji kutoka timu kukataa kuhamia timu kubwa kama Steven Gerard kukomaa Liverpool na kustaafa bila kombe.jose alimtaka Gerard kuhamia Chelsea zaaidi ya mara mbili aligoma
 
Point of correction: nyie mlikua mnamtaka vardy ila vardy kawakataa nyie, so usiseme HATUHITAJI
 
Kishapaniki huyo mkuu, maana anajua anko wenger baada ya kumsajili xhaka ndio kishafunga dirisha la usajili kwake.

inaonekana unajua mahitaji ya arsenal kuliko hata AW na team yake ya usajili....hongera sana kwa kujua zaidi
 
Tulikuwa tunatakana Kama arsenal walikubaliana personal terms na vardy manaake tulikuwa na makubaliano vardy alikuwa anataka kuja na arsenal walikuwa wanamtaka kubadili mawazo sio issue tunatafuta target nyingine
 
Wenger simshangai alishidwa kumsajil Suarez kwa tofauti ya pound 1 tu!, hyu Mzee pasua kichwa
 
Usajiri wa Suarez haukufanikiwa Liverpool walikataa kuuza.baada ya ku activate release clause ilitakiwa biashara ifanyike
 
Back
Top Bottom