Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahahahah nilisema bado kuna goli mbili za uhakika vijana wakitulia 🙂 Sisi 4 Wao 0. Go GUNNERS Go!
 
Uzuri wa washabiki wa mpira napigwa pombe hapa balaa guys natumia ipad yangu kuaccess JF
 
It is time to celebrate another big win...Yes We gonna boogie tonight
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=_XOY7lsBVpo"]YouTube- Let's Groove - Earth wind and fire -[/ame]
 
Muhurumieni Kikojozi aka Masanilo kwa sababu hii ndio tabia yake ya kukojoa kojoa hovyo bora apunguze machungu kwa sababu Special one pale Darajani itakuwa kazi.
 
Hope maneno(utabiri)yangu hapa chini kwenye post yangu hii ya awali yatakuwa kweli....Sivumi lakini nimo kwa utabiri...lol

"Safi sana Arshavin,we missed you man....Arsenal 2 Poto 0(Aggregate 3-2).Naona kile kipigo cha 4-0 cha mwaka 2008 chaweza jirudia hapa....Tumeshaqualify...Lol"
 
naona yule aliyeandika history ya porto kwamba hawajawahi kufungwa second leg baada kushinda first leg kaenda kufanyia editing post yake lol.
 
Back
Top Bottom