Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kandanda inayochezwa hapa so far ni tamu kwa kweli...Wenye wivu wajinyonge...lol
 
Masanilo uko wapi Mkuu!? Gunners 2 Porto 0 tunakenua tu 🙂....nilikwambia Mkuu leo ni ushindi tu.
 
Khe kheeeeeeee Bendtner leo kazi anayofanya ndiyo hiyo Arshavin pass ... ....
 
tunahitaji 3 zingine kabla half time.kama tukiwa tuna uwezo wakucheza hivi kila mechi basi may habari yake kubwa.
 
Safi sana Arshavin,we missed you man....Arsenal 2 Poto 0(Aggregate 3-2).Naona kile kipigo cha 4-0 cha mwaka 2008 chaweza jirudia hapa....Tumeshaqualify...Lol
 
Back
Top Bottom