Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
ukiona hata Eboue anafunga ujue hiyo timu ni mbovu sana!
Mtasema yote leo,sisi tunaendelea mbeeeeeele😀😀😀
ukiona hata Eboue anafunga ujue hiyo timu ni mbovu sana!
looool.ukiona masanilo mpaka anapokea offer za bia za washabiki wa arsenal pub hujue kakubali kwamba arsenal kiboko.Mkuu unaongoza mpira kwa remote control nini?
Safi sana Arshavin,we missed you man....Arsenal 2 Poto 0(Aggregate 3-2).Naona kile kipigo cha 4-0 cha mwaka 2008 chaweza jirudia hapa....Tumeshaqualify...Lol
Hongereni kwa mara nyingine kupita, subirini tu draw ya next round.