Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Half time...Vijana wetu wameonesha kandanda safi kabisa...Go Arsenal go......
Hongereni kwa kuvuka, mngependa ku-draw nani next round?Lol...wenye wivu utawajua tu(mtajinyonga mwaka huu(joke)...)...Nyie subirini kichapo toka kwa Inter tu,sie tushavuka yakhe
Masanilo uko wapi Mkuu!? Gunners 2 Porto 0 tunakenua tu 🙂....nilikwambia Mkuu leo ni ushindi tu.
Hongereni kwa kuvuka, mngependa ku-draw nani next round?
Usiogope chief, mtapewa Fiorentina, an easy root to Madrid.Asante jirani...Tuko tayari kwa timu yoyote itakayoqualify