ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,494
- 2,480
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Manyua hebu nendeni kwenye uzi wenu mnatujazia inzi hapa
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Manyua hebu nendeni kwenye uzi wenu mnatujazia inzi hapa
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mashabiki ndo wawe waalimu wa kujituma,hivi wewe unadhan timu zinazoshinda hyo nidham inaletwa na nani,Wenger sio mkali,out wengerKama Ranieri ataweza kushinda kwa nini Arsene Who!? ashindwe kutwaa tena, Wenger aendelee tu, Umeona wachezaji wa Leicester wanavyojituma na kukomalia? Kosa liko kwa baadhi ya wachezaji wa Arsenal. Kikosi cha Arsenal kina uwezo kabisa wa kutwaa Kombe lolote. Fans wawateremshie mkong'oto mtaani baadhi ya wachezaji wanaoleta "ujinga" uwanjani.
Brand football ya Arsene Wenger ni tabu kuibua, ina ladha ya kandanda. Kwa wachezaji hakuna kiongozi, anakosekana kiongozi/kiranja imara wa kuifanya timu ijitume ipasavyo uwanjani.
Tazama(kiranja) Morgan wa Leicester utaelewa nini nasema.
CC Enzo
Unaelewa kandanda inavyofundishwa?Kwahiyo mashabiki ndo wawe waalimu wa kujituma,hivi wewe unadhan timu zinazoshinda hyo nidham inaletwa na nani,Wenger sio mkali,out wenger
Unaelewa kandanda inavyofundishwa?
Mourinho na "ukali" wake na mafanikio yake amefukuzwa kazi na mafiaso wa kirusi.
Unaweza kueleza "ukali" wa Ranieri?
Je Ranieri alipofundisha Chelsea hakuwa "mkali"?
Mimi naamini upoyoyo uko kwa wachezaji. Wenger anafundisha mpira na mbinu nzuri na safi tu kwa mchezo wa kandanda. Tena style ya Arsenal inavutia sana machoni. Kinachokosekana ni wachezaji kujitoa mhanga na kukuza hamu ya kushinda ukiachia wachache kama Coquelin, Alexis, Campbell, Bellerin, Cech, Cazorla.
cc. Ntuzu, Enzo
TANESCO wameamua kukata umeme huku Moshi...
Unataka Wenger awe mkali kama Magu?Attacking football inavutia sana kuitizamana fine, ila haifanikiwi kila mara (rejea maneno ya santi cazorla leo), yafaa kuweko na mbadala wa mbinu kulingana na unaecheza nae nitakupa mfano
........ideally wana game 6-7 ambazo lazima watapoteza tu kwa aina ya mpira ambao hizo timu zimejiwekea kucheza na arsenal- hili ni tatizo la kuwa na too much attacking minded na kuacha sana space na kutokuwa na fighters wa kutosha katika timu
UCL - kila round of 16 Arsenal tunatolewa kwa aina ya mpira ule ule kila msimu, opponent ana predict arsenal wata attack sana sie tuzibe space wakichoka tu tunapiga goli la kushtukiza, hii imetokea since 2010-2016 ((attacking without balance utakuwa una concede tu magolii ya kizembe)) nafkiri timu nyingi hupenda sana kupangiwa arsenal katika mtoano kuliko club nyingine yeyote, they are too predicable
argument yangu ya pili:
Timu mpya aliyojenga especially baada ya msimu wa 2007-2008 anajaza sana "technical gifted players who are not too tough" zamani mtu mwepesi alikuwa PIRES tu timu nzima, katika wing, kiungo ambao ni injini ya timu, EPL imekuja onekana kuwa Kiungo unalazimika kuwa na ((wakata umeme)) japokuwa wawe na Technical na wawe very physical, vinginenyo utakuwa BULLIED kila siku
nachoona mimi binafsi, arsene ni kocha mzuri lakini kwa aina ya attacking philosophy hana wachezaji anaopaswa kuwa nao ((very effiecient players)) na hataki kununua sokoni yuko too much patient na under performers wake hasa BRITISH CORE PLAYERS, jambo lingine sio MKALI sio mtu wa motivation kwa players wake, mtu anaboronga kila mechi na anampanga na kumpanga na kupanga tena na kumtetea
..
Unataka Wenger awe mkali kama Magu?
Unataka Wenger afundishe mieleka na rugby?
Hilo la kutojituma wachezaji nakubaliana na wewe. Sasa hilo ni kosa la Wenger au wachezaji?
Hivi unaelewa Wenger ana wasaidizi katika kufundisha mpira? Kwa hiyo wote hao ni wapole?
Tatizo ninaloliona mimi ni kwa Arsenal kutaka kufunga perfect goal. Norwich walikuwa wanajaribu kufunga kutoka mbali, nje ya box, Arsenal mara chache ndio wanajaribu, ni Ramsey na Elneny ndio hujaribu kutoka masafa ya mbali.
Tatizo linginge ni Arsenal kucheza mpira sana kwenye half yao badala ya kutuma mpira kwa haraka mbele.
Itategemea na kocha mtakaepata hapo Wenger aking'atuka lakini akiondoka mtakuwa sawa na "man United" baada ya Sir Alex "bahasha" kuondoka Man. United. Au mtakuwa kama Newcastle baada ya kumfungisha virago Pardew.
Nataka Pardew achunguzwe kufuatia matokeo ya mechi yao na Newcastle ya jana. Huenda aliuza mechi ili kuiokoa Newcastle.
Ni kocha yupi unataka aje Arsenal na wachezaji wepi wanunuliwe ili waje kucheza hiyo mieleka na rugby?
Leo Wenger ameuachia na Arsenal itaiadhibu Man City. Bado mtacheza CL mnataka nini tena?
cc Enzo