MkoPoKa
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 600
- 393
Babu anajua finishing ya kutuweka kwenye kombe letu la Kudumu TOP 4wiki hii sijui tutatoka salama...preshaa...........
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Babu anajua finishing ya kutuweka kwenye kombe letu la Kudumu TOP 4wiki hii sijui tutatoka salama...preshaa...........
Babu 3 FA 0Ngapi ngapi jamani
Washukrani sanaHongereni kwa ushindi mzuri
Sasa nani kakwambia kuwa Arsene wenger anasepa next season?Ligi ya msimu huu inaweza kuitwa "The DEATH OF THE BIG TEAMS". Timu zote zinazojulikana big teams zimefanya vibaya na kiaibu zaidi. Arsenal ndio tumeiaibisha kuliko hata Manchester United na Chelsea ki maoni yangu. Inakuwaje tumeshindwa kubeba kombe wakati tulikuwa tunashindana bila wapinzani wa kila siku? Wenger out, Wenger out, Wenger out. Nitafuatilia na kushangilia Arsenal msimu ujao. THE END.
HahahahahabahabaAseeee hivi ni kweli ndio tumeukosa ubingwa hata msimu huu? Yaani bado mechi 7 tu afu tuko nyuma kwa tofauti ya pointi 11 na muongaza ligi....
Hebu ngoja nipunzike mapema niachene na hii ligi niwasubiri FRANCE tu hiyo june
Tukiwaambia nyie ni mabingwa wa mioyoni hamtaki kila mwaka mnasema ubingwa wenu kinatokea kile kile mwishoni mwa msimu ila nashukuru kuna washabiki wenu wengine wanakiri mapungufu hayo kiukweli msimu huu tulitegemea mngechukua ndoo kwani timu kubwa zote hazikuwa vizuri.Ligi ya msimu huu inaweza kuitwa "The DEATH OF THE BIG TEAMS". Timu zote zinazojulikana big teams zimefanya vibaya na kiaibu zaidi. Arsenal ndio tumeiaibisha kuliko hata Manchester United na Chelsea ki maoni yangu. Inakuwaje tumeshindwa kubeba kombe wakati tulikuwa tunashindana bila wapinzani wa kila siku? Wenger out, Wenger out, Wenger out. Nitafuatilia na kushangilia Arsenal msimu ujao. THE END.
Hahahahahabahaba
Babu hana mdhamana.
Hii kitu mwaka huu ilikuwa yetu akachezea kwa uhanithi wake. Unakosaje kombe mzimu huu wakati wapinzani wako wakuu wote wako chali!?
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Hapo umekosea. Kwa miaka zaidi ya 12 sasa kombe letu limekuwa top4 na kwa miaka miwili iliyopita tukaongezea na FA. LKN hili la kudumu halitupiti tunalo kabisa.Again. Wenger out, Wenger out, Wenger out, Wenger out.... #Trophyless season again, #NoUCL probably...Wakaanga Sumu tutaonana next season mkiwa mnagombania Europa league....My Arsenal mates see you next season.
A must win game.
Kati ya game ngumu hii nayo ipo hawa wehu walitutandika Emirates pale game ya kwanza.A must win game.
Kombe letu la kudumu top 4 naliona lilee
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app