Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tujikumbushe kidogo chifu, mmechukua point ngapi kwenye hyo fixture?
 
Naona hata kombe lenu la Emirates limewashinda,Arsenal mnahitaji philosophy mpya hii ya Mr Bean haiwezi kufanya kazi zama hizi
 
Xavier na Iniesta sio wakabaji isipokuwa mara chache husaidia kukaba!
Halafu uyo xavier ni nani mbona simjui mm....iniesta timu ikizidiwa unaona shughuli yake uwanjani anapambana ozil anakua mzuri pale timu inapokua salama uwanjani
 
Ingekuwa vizuri tukifarijiana majirani hiki kipindi sio kizuri kwetu yaani hawa vijana wanataka kubaki wao wenyewe tu hawajui safari bila mkubwa haiendi!poleni kwetu pia tia maji tia maji.
 
Arsene Wenger, ni mtu sahihi kwa wamiliki wa Club. Uwezekano wa kuondoshwa ktk nafasi yake ni 30% kubaki ni 70%. Naomba mkae mvumilie tu hali hii maana nadhani nyie wa Arsenal mmeumbiwa majonzi. Yaani kila nikiangalia sioni mwanga, next week Barca hao. Vijana wa mjini wanasema ukitaka kuwa model penda Arsenal haina haja ya dayat teh teh barafuyamoto Wacha 1
 
Asante, ila ndo nachoombea.
Kuiombea arsenal kufungwa ni kujitekenya mwenyewe maana ni mwaka wa 10 sasa ligi yenu inaishia mwezi wa 2

Kwa shabiki mwenye fikra pevu hawezi kumshangaa Wenger maana kila siku sababu zake nyingii afu zile zile

Wakati units, Wenger bado anapambana nao ataumia, na ataondoka kwa aibu mwenyewe yeye anafikiri kule kwa zaman mpinzani alikua naye mmoja tuu Manchester United wakati leo wapinzani ni Zaidi ya 6
 
Wenger aondoke na matasaka, girud, arteta, chamberz, walcot ,ramsey, flamin,sanogo, hawa mabwana ni mizigo sana pale arsenal.
 
Kama umenisoma toka mwanzo licha ya kusema TUFUNGWE, nimesema tukose na champions league spot!
 
ila kama mzee wenger anapenda kuilinda heshima yake ni bora ajiengue mwenyewe mwisho wa msimu huu la sivyo December ya mwaka huu hataiona akiwa na kibarua chake, na atafukuzwa kwa aibu...
 
Kashengo nilishakuambia kuwa sisi hatuiombei njaa assnail maana tunajua njaa kwa assnail ni constant, tunachofanya ni kusubiri muda muafaka ufike wale WENGER OUT brigade waanze kazi yao.

Hii nimeikuta mahali sijui kama inaukweli wowote


Arsenal's form since Leicester win:

0-0 Hull...........D
0-2 Barcelona.L
2-3 Man Utd ...L
1-2 Swansea.. L
2-2 Spurs....... D
4-0 Hull.......... W
1-2 Watford ....L
It's 5 points out of possible 21, kheee kheee kheeee kheeeeee MkoPoka ai misi yu.
 
kashengo ni die hard fan wa Wenger,tulimwambia Arsenal ni predictable haya yanayotokea leo almost misimu 10 ni hayo hayo hakuna mabadiliko.Huwa anaamini Wenger alifocus kujenga uwanja so top four ilikuwa priority,uwanja umeisha timu iko stable financial now wana uwezo wa kuzuia key players wasiondoke na timu ina ubavu wa kusajili WC players
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…