Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mnafikiri ubingwa ni makalio .............mpigwe tu manina, bora achukue spurz au Leceister
 
Naona akili imekukaa sawa sasa.............
 
Yametimia..............
Naweka hii post kwa matumizi ya baadae.......
 
"...manure ya sasa ni timu flani ya kujipigia tu....yaani ni kujipigia tuuuuuu"
 
kashengo najua unaugulia maumivu bila shaka wale madaktari makinda wameng'oa yale meno matatu ya mbele bila ganzi wahitaji kumpumzika nakuombea upone haraka uje utusimulie maumivu uyapatayo pindi ung'olewapo meno bila ganzi tena na madaktari makinda
 
mkuu hata mi simjui jina....kuna mwingine tena aliingia badala ya Rojo sijui nae anitwa nani! ana mwili kama mcheza rugby
Hata mimi nimesahau majina yao. Labda Wacha 1 na rubaman wanayafahamu majina yao
 
kashengo najua unaugulia maumivu bila shaka wale madaktari makinda wameng'oa yale meno matatu ya mbele bila ganzi wahitaji kumpumzika nakuombea upone haraka uje utusimulie maumivu uyapatayo pindi ung'olewapo meno bila ganzi tena na madaktari makinda
nilimwambia kashengo hiki ndio kipindi cha cha kupoteana......wamefungwa na barca,wamefungwa na man utd, kuna EPL tena midweek, halafu kuna ligi weekend ijayo, katikati ya week tena inabidi warudiane na hull city baadae weekend kuna FA cup then jumatano wanacheza na barca! wakishatumbuliwa na barca wanakutana na Everton! watacheza game 4 ndani ya siku 11 hapo kwenye hio ratiba, kuna kilichobaki hapo?!
vs swansea jumatano
vs totenham jumamosi
vs hull city jumanne
vs wes brom jumamosi
vs barcelona jumatano
vs everton jumamosi

mechi sita mwezi march
 
Huyu jamaa nimemmiss atakuwa kapatwa na janga sio sure..kimya sana
Huyu jamaa anaijua vizuri timu yake, anajua kuwa huu ndio muda wa kuporomoka ndio maana kaamua ajikalie kimya, ila wale wenzangu na Mimi ndio wanajifanya kichwa ngumu
 
Huyu jamaa anaijua vizuri timu yake, anajua kuwa huu ndio muda wa kuporomoka ndio maana kaamua ajikalie kimya, ila wale wenzangu na Mimi ndio wanajifanya kichwa ngumu

ArsayNO February huwa mwanzo wa majanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…