Nakuja OT nakuchapa Viboko vya kutosha
jana sie Die hard fans tulikuwa tunatemesha jukwaa tu...game tulijua ni ngumu sana kwetu hakuna cha kuogopa ogopa wala short memory
game imeisha UCL imeisha
Next Game OT tuonane Jumapili saa 10 hapa jukwaani manure ya sasa ni timu flani ya kujipigia tu....yaani ni kujipigia tuuuuuu
We lost it...we are focusing now to LVG sacking mission on sunday
We mpaka tukusambaratishe jumapili ndo utapotea hili Jukwaa hakuna namna
Na mlivyo na injury list kama Mmekutana na Earth quake
game ifike hii jamani
Jambo la ajabu limeshatokea.Matokeo ya jana sio jambo la ajabu kwetu...ila kama yatatokea jumapili litakua jambo la ajabu sana duniani
De Gea, Blind, Mata, Herrera, Mata, Lingard, Depay, Sneiderlin, Rojo, AT THEIR PREFERED POSITIONS, then CARRICK kama CB, how the heck is this under 21?? Arsenal ni media tu wanapamba kuwa ni TITLE CONTENDERS ila they have never been, kwa kusema kuwa wamefungwa na U21 ya Manu, si kweli! Ni kama wachezaji 4 wa Manu wa first eleven ndo walikosekana!teh! Tittle contender Can't even beat Manchester United U21team
Pole sana best.......As salaam aleikhum waungwana wenzangu ni super sunday nyingine tunaelekea OT kufanya lile tulilolifanya Emirates hakuna namna tunazihitaji pointi 3 leo.
Cech
Berrelin
Nacho
Gabriel
Koscielny
Coqueln
Ramsey
Walcott
Welbeck
Ozil
Sanchez
Arsenal ni ile ile mtaisoma namba...........We subiria sindano ya MOTO hakuna jinsi ya kuelewa tofauti na Defeat
aliyesema DM kwa hakika kavurugwa na kipigo na si kila wazo la shabiki analosema liko sahihi
maana DM kashanunuliwa Mohamemd Elnenny hatujui kwanini hakuwa hata bench ila Yuko
DEPTH iko ya kutosha YEEAH we ndo unawaza hayo sio tunakunywa juice baridii tunasubiria Kukupa za Uso
Nafikiri sasa umepata jibu na kuelewa niliposema Arsenal ni AVERAGE TEAM...........Arsenal ni average tuki-compare na nani mkuu?