Wenger amemnunua DM Mohamed Elney na anampiga benchNafikiri malengo yapo kwenye ligi na FA Cup.
Lakini Wenger angesajili DM na hili wazo nililisema mwezi Juni mwaka jana. Coquelin hawezi kucheza high pressing game bado mdogo.
Goli la kwanza walimwacha Coquelin akabiliane na the world best player kwenye counter attack ya MNS hio ni suicidal.
Goli la pili ni same old mistakes Flamini si mwepesi na option alokuwa nayo ni kupiga kiatu.
That's it Barca wanatumia makosa na wanatufunga
Messi anafunga penalty na hakuna shaka Barca wanaenda hatua ya robo fainali.
Messi sawa
Neymar mimi huniwezi
kwanza kufungwa na messi raha
mechi ijayo emirates tena
mnashinda nini, njaa au!Hakuna kitu kama hicho wewe. Arsenal tunashinda kama kawaida
Si mbaya, sisi sio wa kwanza kufungwa Na messiUmeona...uwezekano upo kumbe..na bado camp nou mtaisoma namba chezea Baca weweeeeee
Ndio hivyomnashinda nini, njaa au!
Asante sanaPoleni sana mmejitahidi kupunguza Idadi ya Magoli.
Hongera kwa kutokufungwaMark my words kesho utakuwa dis appointed with your barca....
we shall not loose
enhee utasemaje? tumebahatisha?
na hakuna kubahatisha kumpiga barca
Hawa jamaa wana short memory kweli.....next season wataongea maneno haya haya wakipangiwa barcelona au bayern munich last 16.....haya safari yenu ya ECL kama kawaida inaishia last 16 sasa malizieni safari yenu ya 4th place EPLHongera kwa kutokufungwa
Nawashangaa kuna watu wanamlalamikia Flamini, bila shaka hawa hawajecheza mpira au hawajui kabisa mpira.Nafikiri malengo yapo kwenye ligi na FA Cup.
Lakini Wenger angesajili DM na hili wazo nililisema mwezi Juni mwaka jana. Coquelin hawezi kucheza high pressing game bado mdogo.
Goli la kwanza walimwacha Coquelin akabiliane na the world best player kwenye counter attack ya MNS hio ni suicidal.
Goli la pili ni same old mistakes Flamini si mwepesi na option alokuwa nayo ni kupiga kiatu.
Si mbaya, sisi sio wa kwanza kufungwa Na messi
Nakuja OT nakuchapa Viboko vya kutoshaHawa jamaa wana short memory kweli.....next season wataongea maneno haya haya wakipangiwa barcelona au bayern munich last 16.....haya safari yenu ya ECL kama kawaida inaishia last 16 sasa malizieni safari yenu ya 4th place EPL
We lost it...we are focusing now to LVG sacking mission on sundayHongera kwa kutokufungwa